Nilichowafanya hawa mabinti wa IFM hawatanisahau

Nilichowafanya hawa mabinti wa IFM hawatanisahau

Weekend nilikutana na binti mmoja mrembo sana akasema anasoma IFM
Tukabadilishana namba,nikamwambia Jumapili jioni ajiandae nitamtoa out

Nikachukua bolt hadi Shaaban Robert Street chuoni kwa binti mida ya saa mbili.

Cha kushangaza akaja na wenzake watatu wananukia kama majini.

Safari ikaanza mpaka small planet Tabata.

Wakaagiza savana,mi nikaita mtu wa jikoni wakaagiza kila mtu msosi aupendao na mimi nikaagiza.

Tukaanza kula nikajifanya naongea na simu nikachukua bodaboda kitandani.

Asubuhi nikakuta matusi mengine mapya kabisa yaani sms za matusi zinapishana tu kwenye simu

Ofa nilikupa wewe Suraiya wewe unaniletea timu ya Twiga stars,
Kwanza sijui kama hao walikuwa binadamu au majini, binadamu wa kawaida amashindwa kumaliza samaki changu wa saizi ya kiganja?
At least ungelipa bill yako na ya baby wako, hayo manunga yembe mengine yajisort yenyewe
 
At least ungelipa bill yako na ya baby wako, hayo manunga yembe mengine yajisort yenyewe
Still bado wangegombana tu.
Jamaa alitakiwa waliweke sawa kabla ya kwenda walpopanga kwenda.
Angeomba dereva bolt awasubiri watete pembeni na baby wake angalau waende sehemu nafuu kwani kuwarudisha palepale nako asingeweza.

Kosa lilianzia kwa binti na jamaa naye kakosea vilevile
 
Huwezi kuwarudisha wala kubadili kiwanja maana at first hujui wamejipangaje. Huwenda nao wapo vizuri mfukoni wametaka tu kampani
 
Huwezi kuwarudisha wala kubadili kiwanja maana at first hujui wamejipangaje. Huwenda nao wapo vizuri mfukoni wametaka tu kampani
Utakuwa mgeni bongo?
Unawajua dada zetu?
Wakiwa na mwanaume hata wakiwa nazo huwa wanaamini wewe mwanaume utalipia.

Bongo ngumu sana...hapo Kenya huwezi ona ufala huu wa kulisha kijiji
 
Back
Top Bottom