Ila watu wanapitia mengi huko kwenye outings.
Shost angu akapataga danga jipyaa, akamuomba amtoe out weekend 1, bas shost huyo had kwangu eti ananambia mie nijiandae weekend kuna mtokoo, khee namuuliza mtoko vipi tena eti kuna danga limemuambia hvyo,
Nkamuambia amekuomba wee akutoe out, sasa mie nahusikaje hapo? Anaanzaa oooh wee hutak kwenda ku slay, nkamuambia sio sahihi kwenda na mie, akaanza kukasirika, nkamchana ukweli shost niachee nenda mwenyewe sitaki niwe kero kwa mtoko wenu, km hutaki kuliwa hiyo weekend wee tafuta kisingizio utamuambia. Bas tukaachana.
Kumbe yeye kaenda kutafuta dadaz wengine wawili watoke nae, bas siku ikafika wakatumiwa usafiri kuwachukua, wakaenda had alipo jamaa ni The Elements Masaki, kufika kulee kumkuta dangaa yupoo hapo, wale mashost wakakaa nao waka agiza wanavyotumia had muda danga alipoona ni sahihi waka enjoy na shost, akamuomba kuwa wenzie awarudishe chuoni, shost akaanza eti akiwaacha itakua sio vizuri, bas danga akakubali ila hakuridhika, waka agana akawachukulia usafiri kuwarudisha chuo wote.
Yulee danga alijua kutuma matusi, alianza kuwachamba wale mashost kila m1 jinsi alivyoo, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan sio kwa vile vichambooo khaaah.
Ananioneshaa text shost, nkajisemea nilijua tena ningekua na mie sasa huu mzigo was matusi na kichamboo ungekua wangu wotee, khaaaah.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wanachuo wanafanya hivyo huwa hawataki kuliwa ndo wanakuja group. Mweeeeeh.