Nilichowafanya hawa mabinti wa IFM hawatanisahau

Nilichowafanya hawa mabinti wa IFM hawatanisahau

Huwezi kuwarudisha wala kubadili kiwanja maana at first hujui wamejipangaje. Huwenda nao wapo vizuri mfukoni wametaka tu kampani
Mkuu,
Kwani wakati wa makubaliano huwa si mtu anasema atakuja peke yake au na wenzake? Sasa kama mlikubaliana mnakutana for a date kwa nini aje na wenzake bila taarifa? Kuwa au kutokuwa na pesa yao kunahusiana vipi na outing ya wawili?

If you understand what a date is, huwezi kuanza kuwaza mambo ya pesa, unawaza sababu za kukutana.
 
Nashukuruu sio mtu wa outings, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Babee angu had huwa anachukia, anachofanya sasa akitoka out nisilalee had yeye atoke huko afike kwake.

Ananitesaa..
Hapo sawa best!!!!!Mimi toka nimeoa outing zimekufa zenyewe!!!
 
Mkuu,
Kwani wakati wa makubaliano huwa si mtu anasema atakuja peke yake au na wenzake? Sasa kama mlikubaliana mnakutana for a date kwa nini aje na wenzake bila taarifa? Kuwa au kutokuwa na pesa yao kunahusiana vipi na outing ya wawili?

If you understand what a date is, huwezi kuanza kuwaza mambo ya pesa, unawaza sababu za kukutana.
Mtoa maada kasema ni out tu hajasema ilikuwa ni date lakini
 
Tupatie hizo mbinu pm tuwanyooshe wenye visima vya baraka na raha za duniani
Wadiz dadangu Coca kanikataza hapa🤣🤣🤣🤣!!!!!Nisimwage mchele kwenye kuku wengi🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom