Nilichowafanya hawa mabinti wa IFM hawatanisahau

Nilichowafanya hawa mabinti wa IFM hawatanisahau

Ila watu wanapitia mengi huko kwenye outings.

Shost angu akapataga danga jipyaa, akamuomba amtoe out weekend 1, bas shost huyo had kwangu eti ananambia mie nijiandae weekend kuna mtokoo, khee namuuliza mtoko vipi tena eti kuna danga limemuambia hvyo,

Nkamuambia amekuomba wee akutoe out, sasa mie nahusikaje hapo? Anaanzaa oooh wee hutak kwenda ku slay, nkamuambia sio sahihi kwenda na mie, akaanza kukasirika, nkamchana ukweli shost niachee nenda mwenyewe sitaki niwe kero kwa mtoko wenu, km hutaki kuliwa hiyo weekend wee tafuta kisingizio utamuambia. Bas tukaachana.

Kumbe yeye kaenda kutafuta dadaz wengine wawili watoke nae, bas siku ikafika wakatumiwa usafiri kuwachukua, wakaenda had alipo jamaa ni The Elements Masaki, kufika kulee kumkuta dangaa yupoo hapo, wale mashost wakakaa nao waka agiza wanavyotumia had muda danga alipoona ni sahihi waka enjoy na shost, akamuomba kuwa wenzie awarudishe chuoni, shost akaanza eti akiwaacha itakua sio vizuri, bas danga akakubali ila hakuridhika, waka agana akawachukulia usafiri kuwarudisha chuo wote.

Yulee danga alijua kutuma matusi, alianza kuwachamba wale mashost kila m1 jinsi alivyoo, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan sio kwa vile vichambooo khaaah.
Ananioneshaa text shost, nkajisemea nilijua tena ningekua na mie sasa huu mzigo was matusi na kichamboo ungekua wangu wotee, khaaaah.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wanachuo wanafanya hivyo huwa hawataki kuliwa ndo wanakuja group. Mweeeeeh.
Huwa inauma sana kugharamia mtu halafu usipate kitu!
 
Kuna wakati michango yenu hamshirikishi akili wala hamtendi haki.

Zaidi mnajikosha muonekane mko matawi.
Maslay queen watatu mjini sehemu ya maana watatumia sio chini ya 30k kila mtu sawa na 90k plus bolt ya kutoka IFM to Tabata go and return kwasasa sio chini ya 40k.
Ukijumlisha na yeye mtoa out 30k=90+30k+40k=+160k na hapo hatujui huyu jamaa uwezo wake ukoje?.

Naelewa binti huenda alihofia usalama wake lakini alipaswa amtaarifu jamaa kuwa anakuja na rafiki yake angalau mmoja.

Wabongo tunajifanya matajiri kulisha kijiji ilhali wazungu wenyewe hawanyi ujinga huu.
1. Binti alipaswa kutoa taarifa.
2. Kijana Mdukuzi naye asingepaswa kuwatelekeza angemwita pembeni tu pale walipokuja kwenye bolt kabla ya kwenda walipopanga kwenda angalau wabadili location waende sehemu nafuu kidogo ili aweze kuafodi gharama.

Tuache ujinga huu wakulisha vijiji kwa sifa za kijinga hasa katika hatua zetu za awali katika utafutaji.

3. Mabinti elimikeni pia...toeni taarifa kabla hamjatoka ili mkubaliwe kuleta rafiki zenu au mkataliwe na out ifie juu kwa juu badala ya kuaibishana mbeleni
Sasa umeandika nini unaleta mambo ya kisingeli kama ujajipanga na starehe acha kwani lazima? kulikuwa na sababu gani kuwatoa IFM hadi huko barakuda? Kwanini asiende viwanja vya masaki, kinndoni, sinza, goba mpaka awapeleke kinyerezi huo unabaki niushamba labda na wewe unateteni jamii hiyo hiyo yakpumbfu!
 
Sasa umeandika nini unaleta mambo ya kisingeli kama ujajipanga na starehe acha kwani lazima??kulikuwa na sababu gani kuwatoa IFM hadi huko barakuda??Kwanini asiende viwanja vya masaki,kinndoni,sinza,goba mpaka awapeleke kinyerezi huo unabaki niushamba labda na wewe unateteni jamii hiyo hiyo yakpumbfu!
Ndio maana nimeongelea tatizo la jamaa kuwanyamazia...alipoona wamekuja wengi alipaswa amwite pembeni wajadiliane na kubadili location waende sehemu rahisi ili kuweza kuwa handle wote kuliko kuwakimbia.

Pili jamaa alijipanga kwa starehe ya wawili na sio kijiji
 
Weekend nilikutana na binti mmoja mrembo sana akasema anasoma IFM
Tukabadilishana namba,nikamwambia Jumapili jioni ajiandae nitamtoa out

Nikachukua bolt hadi Shaaban Robert Street chuoni kwa binti mida ya saa mbili.

Cha kushangaza akaja na wenzake watatu wananukia kama majini.

Safari ikaanza mpaka small planet Tabata.

Wakaagiza savana,mi nikaita mtu wa jikoni wakaagiza kila mtu msosi aupendao na mimi nikaagiza.

Tukaanza kula nikajifanya naongea na simu nikachukua bodaboda kitandani.

Asubuhi nikakuta matusi mengine mapya kabisa yaani sms za matusi zinapishana tu kwenye simu

Ofa nilikupa wewe Suraiya wewe unaniletea timu ya Twiga stars,
Kwanza sijui kama hao walikuwa binadamu au majini, binadamu wa kawaida amashindwa kumaliza samaki changu wa saizi ya kiganja?
Eeeh bhana eeh!! Hii inanikumbusha mbali sana aisee, kuna manzi mmoja nilikuwa namfukuzia Muda Mwingi sana lakini sikuweza bahatika kukutana nae yaani outing kwan alikuwa anakataa kutoka!!

Mwamba sikukata tamaa niliendelea kumsumbua sana aisee, ikafika mwisho akakubali kutoka na Mimi hapo sina shida na Pesa kwani teyar Mwamba Mfuko unasoma na Boom la kutosha aisee kipindi icho tunatolea Pesa Pale Azikiwe Branch Posta!!

Muda ukafika kama saa Moja hiv jioni nikaita Uber nikamwambia aje karibia na Freemason area!! Eeh bhana eeh kuangalia yuko na Mtu 3 na yeye wa nne hiv!! Then kucheki nawaona wale wadada wa Kujirusha sana coz nawajua si unajua kichuochuo!!

Mwamba nikaona hii hali sio ya kawaida wakafika pale tukaingia kwa Uber sasa Akili ikanicheza sasa hapa tunaelekea wap kwa Hiki kikundi lakini mala ya kwanza Dereva nilimwambia anipeleke masaki coz mtoto ni mmoja najua !!

Mara paap masaki hiyo tukaenda sehem moja hilikuwa imechangamka sana na watoto wa kishua balaa tukafika pale!! Kila mtu anaagiza anajo Jua yaaani hapo akili haisomi kabisa najikuta kila kitu naitikia Yeah kwelii!!

Baada ya Muda nikamtumia message Yule manzi kwamba naomba nikatoe ela kwenye ATM si unajua sikujua kama unakuja na Ndugu zako!!

Faster mwamba nikatoka weeeeh! Nikaenda kwa Ndugu yangu Gongo la mboto na Simu nikazima!! Aisee siku nakutananae alinitukana sana
 
Kuna wakati michango yenu hamshirikishi akili wala hamtendi haki.

Zaidi mnajikosha muonekane mko matawi.
Maslay queen watatu mjini sehemu ya maana watatumia sio chini ya 30k kila mtu sawa na 90k plus bolt ya kutoka IFM to Tabata go and return kwasasa sio chini ya 40k.
Ukijumlisha na yeye mtoa out 30k=90+30k+40k=+160k na hapo hatujui huyu jamaa uwezo wake ukoje?.

Naelewa binti huenda alihofia usalama wake lakini alipaswa amtaarifu jamaa kuwa anakuja na rafiki yake angalau mmoja.

Wabongo tunajifanya matajiri kulisha kijiji ilhali wazungu wenyewe hawanyi ujinga huu.
1. Binti alipaswa kutoa taarifa.
2. Kijana Mdukuzi naye asingepaswa kuwatelekeza angemwita pembeni tu pale walipokuja kwenye bolt kabla ya kwenda walipopanga kwenda angalau wabadili location waende sehemu nafuu kidogo ili aweze kuafodi gharama.

Tuache ujinga huu wakulisha vijiji kwa sifa za kijinga hasa katika hatua zetu za awali katika utafutaji.

3. Mabinti elimikeni pia...toeni taarifa kabla hamjatoka ili mkubaliwe kuleta rafiki zenu au mkataliwe na out ifie juu kwa juu badala ya kuaibishana mbeleni
Kwenye hii sekta,nakuvukia kofia mkuu.

Hunaga ushauri mbovu. Mkuu wewe una asili ya Tanga nini Mana unaonyesha Ni mtaalamu Sana wa mapenzi.
 
Back
Top Bottom