Nilichowafanya hawa mabinti wa IFM hawatanisahau

Weekend nilikutana na binti mmoja mrembo sana akasema anasoma IFM
Tukabadilishana namba,nikamwambia Jumapili jioni ajiandae nitamtoa out

Nikachukua bolt hadi Shaaban Robert Street chuoni kwa binti mida ya saa mbili.

Cha kushangaza akaja na wenzake watatu wananukia kama majini.

Safari ikaanza mpaka small planet Tabata.

Wakaagiza savana,mi nikaita mtu wa jikoni wakaagiza kila mtu msosi aupendao na mimi nikaagiza.

Tukaanza kula nikajifanya naongea na simu nikachukua bodaboda kitandani.

Asubuhi nikakuta matusi mengine mapya kabisa yaani sms za matusi zinapishana tu kwenye simu

Ofa nilikupa wewe Suraiya wewe unaniletea timu ya Twiga stars,
Kwanza sijui kama hao walikuwa binadamu au majini, binadamu wa kawaida amashindwa kumaliza samaki changu wa saizi ya kiganja?
Umefanya vzr Kama Ni Kweli umefanya hvyo

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Wanaume wenye hela za kusikilizia shida sana.nyumbani kwako watu watakula nyama mbili kweli?
 
Kaka kenya ufala wa kulisha kijiji ulishaisha?????Hapa bongo eti tunaambiwa ndio ugentleman kaka
Nikwambie ukweli;
Wanaume wanaolisha kijiji ni wale hawajiamini bali wanatumia nguvu kubwa kujiaminisha kuwa wako juu..

Ninapokuhitaji binti tutoke out...is only you na sihitaji hata nzi akatishe karibu yetu.
Ishu sio tu kulisha kijiji bali ni privacy yetu, utulivu wetu na uhuru wetu.

Sasa mtu 4 hicho si kikao cha harusi?
 
Nikwambie ukweli;
Wanaume wanaolisha kijiji ni wale hawajiamini bali wanatumia nguvu kubwa kujiaminisha kuwa wako juu..

Ninapokuhitaji binti tutoke out...is you only na sihitaji hata nzi akatishe karibu yetu.
Ishu sio tu kulisha kijiji bali ni privacy yetu, utulivu wetu na uhuru wetu.

Sasa mtu 4 hicho si kikao?
Kweli kaka wanaume wengi hatujiamini tunatumia pesa kuficha udhaifu wetu😎😎
 
Weekend nilikutana na binti mmoja mrembo sana akasema anasoma IFM
Tukabadilishana namba,nikamwambia Jumapili jioni ajiandae nitamtoa out

Nikachukua bolt hadi Shaaban Robert Street chuoni kwa binti mida ya saa mbili.

Cha kushangaza akaja na wenzake watatu wananukia kama majini.

Safari ikaanza mpaka small planet Tabata.

Wakaagiza savana,mi nikaita mtu wa jikoni wakaagiza kila mtu msosi aupendao na mimi nikaagiza.

Tukaanza kula nikajifanya naongea na simu nikachukua bodaboda kitandani.

Asubuhi nikakuta matusi mengine mapya kabisa yaani sms za matusi zinapishana tu kwenye simu

Ofa nilikupa wewe Suraiya wewe unaniletea timu ya Twiga stars,
Kwanza sijui kama hao walikuwa binadamu au majini, binadamu wa kawaida amashindwa kumaliza samaki changu wa saizi ya kiganja?
Umefanya vzr mm nilifanyiwa hvyo hvyo sijui siku hzi wanaambiana ,mnk nilimfata hapo kimara akaniita akniambia nimkute kwake Kisha ghla Niko njia nane hapo bonjokwa Yuko ktk bar fln hapo nimeingia ndani Cha Kwanza akaanza kuagiza mizosi na kusema Ana njaa akaita rafika ake akasema nimnunulie chakula dah elf35 ikapotea nikasema nikakah hapa Hadi saa sita laki itapoteaa mnk walianza kunywa kwa sifa

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Utakuwa mgeni bongo?
Unawajua dada zetu?
Wakiwa na mwanaume hata wakiwa nazo huwa wanaamini wewe mwanaume utalipia.

Bongo ngumu sana...hapo Kenya huwezi ona ufala huu wa kulisha kijiji
Ndo unatakiwa uwaelimishe sasa, waambie mi nilimwita mmoja ndo nna bajet nae, wengine wasaidie utapoweza
 
Weekend nilikutana na binti mmoja mrembo sana akasema anasoma IFM
Tukabadilishana namba,nikamwambia Jumapili jioni ajiandae nitamtoa out

Nikachukua bolt hadi Shaaban Robert Street chuoni kwa binti mida ya saa mbili.

Cha kushangaza akaja na wenzake watatu wananukia kama majini.

Safari ikaanza mpaka small planet Tabata.

Wakaagiza savana,mi nikaita mtu wa jikoni wakaagiza kila mtu msosi aupendao na mimi nikaagiza.

Tukaanza kula nikajifanya naongea na simu nikachukua bodaboda kitandani.

Asubuhi nikakuta matusi mengine mapya kabisa yaani sms za matusi zinapishana tu kwenye simu

Ofa nilikupa wewe Suraiya wewe unaniletea timu ya Twiga stars,
Kwanza sijui kama hao walikuwa binadamu au majini, binadamu wa kawaida amashindwa kumaliza samaki changu wa saizi ya kiganja?
Ulijuaje kama hawajamaliza ikiwa ww uliwatoroka acha uongo dogo.

Alafu unaonekana huna misimamo walipokuja zaidi ya yule uliemuhitaji ungewaambia pale pale ila kwakua bado mshamba unakimbia dem japo stori yako ni chai
 
Ndo unatakiwa uwaelimishe sasa, waambie mi nilimwita mmoja ndo nna bajet nae, wengine wasaidie utapoweza
Haha yaani badala ya kuwalisha uanze kuwapa semina?
Mbona utasutwa hapo hapo hutaamini....utasikia mwanaume wewe mbahili🤣🤣🤣
Soma hata michango ya mabinti humu ni ya hovyo kupindukia.
Wamezoea maujinga haya
 
Back
Top Bottom