cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
Wape hapa hapa.Mmmmh hapa hapana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wape hapa hapa.Mmmmh hapa hapana
Oooh hapo sawaa.Thanks.....Bado ni wapenzi tu hatujawa wanandoa
Watu kama hao ndo hela zao zinaliwa kizembe [emoji28]Oyaa acha kutetea ujinga simu zipo Kama ww unamwaliko na unaona Haupo safe Kuna sehem usalama Ni mkubwa tu haijalishi Ni SAA ngapi hata Mlimani city tu pale fresh au km unaona hivo kwann usimjulishe mwenzio na simu tu kuliko kushtukiza
hakuna karma ya hivyo mkuu jiongeze...mtu mmekutana sehemu anakuambia njoo nikutoe ofa ya chakula cha mchana wewe ulivyo fara unaagiza chakula cha gharama kubwa wakati ukicheki pembeni huyo mwenzio anaekutoa ofa yeye kaagiza wali na maharage....halafu pia sio mbaya ukimuuliza bro mimi nataka wali kuku vipi! Yeye atakuambia kula tu au siko vizuri mfukoni....mfano mimi nakumbuka niliwahi kwenda manyoni singida kwa marafiki zangu sasa wakati wananitembeza kwenye ule mji tukawa tumeingia kwenye mgahawa uliopo katikati ya mji, jamaa wakaniambia agiza chakula cha ajabu wao wote waliagiza wali kwa nyama ya ng'ombe mchuzi mimi nilikuwa na hamu ya kula ugali kwa nyama ya mbuzi wa kuchoma ilibidi kwanza niwaulize jamani niagize ugali kwa nyama ya mbuzi wa kuchoma? Wakaniambia kaka agiza tu....hao madada kwa kifupi hicho kitendo walichofanyiwa na jamaa ni haki yao unakuwa kama vile unamkomoa mtu sio poaUjafikia umri wakufanya mapenzi first date unataka aje pekee anajuaje wewe kama ni mtu mwema unaushamba sana mtoto wa kiume unakuja kuadithia upuuzi hapa katika shamba la wanaume?? Wewe unaona kama umewakomoa yawezekana kuna mahali walipata changamoto kutokana na hilo ulilolifanya! Basi nikwambie KARMA NEVER SLEEP,KARMA IS BITCH KARMA WILL REVENGE IN OTHER WAY! Ndiyo ujumbe nakuachia.
Sawa dadanguWape hapa hapa.
Akili kubwa sana mkuu,much respect [emoji4][emoji1431]Hii tabia ya kubebana kikundi wanafanya sababu wanapenda outings,mfano weekend hii mwanakikundi akipata mwaliko anabeba kundi lake wanaibuka. Member mwingine akipata mwaliko hivyo anaalika mwenzie kwahyo inakuwa cycle.
Mara nyingi wanaofanya mdada kama hajakukubali lazima afanye hivi.
Nakumbuka mwaka juzi 2021,Kuna mdada nilianza kudate nae,alkuwa UDSM pale, first time tumekutana kwenye gari mwanza kwenye ofisi ya Kidia One. Alinikuta nipo kwenye foleni,aisee baada ya kumwona ule uzuri wake tu,yaan chap within a fraction of second nilkuwa nshapata plan ya kumpata mtoto mzuri. So,pale nikavunga napokea simu nikatoka nje,yeye kwa kuwa alikuwa nyuma yangu akaje mbele, lengo ili nijue atakata ticket ya wap na Mimi nikate ya uko uko anakoelekea,nilkuwa boya kweli[emoji1787][emoji1787] mwanaume nikafika mlangoni nikarudi kwenye foleni sasa nipo nyuma yake,aisee dada alkuwa ananukia vizuri,Ile harufu ilifanya kukazia wazo langu la kumfuata mpaka anapoelekea.
Imefika zamu yake kukata ticket,aisee hakuna moment maishani mwangu masikio na ubongo vilikuwa na ushirikiano kama siku hiyo.... never ever aisee....aisee nilifurahi sana baada ya sentensi zifuatazo kutoka kwa mkata ticket dada gari ya Dar imebaki na seat 2&3 tu na hiz zimebaki sababu zilkuwa booked ila watu wamecancel safari.
Ilkuwa furaha maradufu sababu na Mimi nlkuwa naelekea dar,kwahyo tupo njia Moja afu seat Moja,pale pale kutokana na umakini niliokuwa nao niliweza kukariri namba yake ya simu na jina lake pale alipoulizwa na mkata ticket. Baada ya kupewa ticket yake cjui alipotelea wapi,na Mimi nikabeba ticket yangu,nikosogea nje nkasave namba nikahakiki namba kupita M-pesa nikaona majina ni Yale Yale.
Usiku nikamtext kumtakia usiku mwema na safar njema baada ya kama nusu saa akareply "Asante,samahan wewe Nan?! Sikumjibu asubuhi kwenye gari tumepanda tukapeana salamu then nikalaza seat kidogo nikafunika sura kwa kofia then nikapga usingiz kwa raha zote sababu yake namba ninayo. Nmekuja shktuka gari ndo inaingia Shy stand. Binti Yuko busy anaangalia series ya "the oval" ndo tukaanza vistory vya hapa na pale.Ikabidi kwanza nitest for the validity nione binti kama Binti ni kauzu au la..nikamwomba anisimulia hyo movie inauhusu Nini,(wakati Mimi nishaiangalia yote).Dada kaanza nisimulia mwanzo mpaka alipoishia,tukaanza urafiki kidogo kidogo.nkawa nshajua ndo anakuja chuo UDSM,anaingia mwaka wa tatu etc kufika Morogoro tukawa kama tumefamiana toka 5yrs ago.
Tumefika mbezi nkamuuliza unaendaje kwako usiku wote huu akadai amezoea na anapoenda sio mbali sana anafika Goba kwa auntie yake then jtatu ndo ataanza harakati za kwenda hostel. Ikabidi pale niwe gentle kidogo Nika request bolt nkapakiza mizigo yake ya yangu nkamwambia nakupeleka Hadi kwenu....Nakumbuka alijibu....Oohh thank you, you're so kind. Hapo sijaomba hata namba Wala Nini tumefka Goba Hadi kwao pale Nikamshushia beki zake,then nikwamwambia hope tuonana tena,mara Auntie yake huyo akafungua geti wakanza mahug yao hapo,Mimi huyo nikarudi kwangu.
Asubuhi nikamtext kumtakia siku njema,hakujibu uzalendo ukanishinda ikabidi nmpigie,akaniuliza ni wap nilipata namba yake nikwambia plan yote niliyofanya Toka kule ofisini kwenye kuchukua ticket,nikaomba kuonana nae akasema atakuwa busy mpaka jumamosi ndo atakuwa free baada ya kumaliza masuala yote ya registration. Week nzima yote tulikuwa kama wapenzi wa muda mrefu kumbe wapi. Katika maongezi nikamuuliza anapenda siku ya date tukutane wap akaniambia napenda kuona maji so sehemu kama beach mahala pake.
Chap nikamcheck dada Fulani hivi mjanja mjanja anipe mwongozo wa restaurant nzuri ambazo zipo maeneo ya beach [emoji3553].Akanipa location moja hyo na price list ya dinner za pale...kuona zile price list niliishiwa nguvu ila ikabdi nipge moyo konde.
Budget pale kwa dinner ambayo ni seafood ni 250k,bahati nzuri kabalance nilkuwa na kama 350k nafanyaje na mtoto seriously nmependa...we only live once,vunja mifupa kama meno ipo.
Jumamosi asubuh akinipgia anadai Yuko free anaenda saloon mwenge so simu atakuwa ameweka pembeni nisiwe na wasi wasi pindi akiwa slow kwenye kujibu text,nikasema worry out mama be safe.
Ametoka saloon akanitumia picha aisee mtoto alkuwa amependeza hadi nikaanza kufeel insecure nkasema nijikaze nisije nikafall deep in love nae maana hapa lazima competition ni Kali sana,,ukizingatia Mimi kapuku. Nikamsifia pale then nikamwambia jioni saa kumi na mbili kamili ntakuja kukupick,tunaenda karambezi for dinner,alifurahi sana.
Sasa picha linaanza muda umefka nmerquest uber hadi location aliyoniambia nitamkuta kufka pale nkampgia simu akasema nakuja nmekuona tayari, nakuja shtuka naona warembo watu na yeye akiwemo,duuh niliishiwa pose chap kwa haraka wazo likanijia nimwoba anioneshe sehemu ambayo kujisaidia haja ndogo. Bahati nzuri pale lilikuwa ni geto la wale wadada wawili nikaingia chap fungua wallet nlkuwa nimebeba 300k.....fasta nikagawa Ile Hela kwenye mafungu mawili 150k Kwa wallet nyingne 150k nakaweka mfuko wa nyuma kabisa ya suruali.
Nimemaliza kupanga budget ya dharura nikarudi tukaanza safari ya kwenda kwenye eneo la tukio mabinti wako busy kujisnap. Ila tayar nilkuwa nimekwazika balaa,mtoto ananimbia kwenye Simu unaongea kweli hapa unajifanya mpole. Tumefka tumekaa kabla mhudumu hajaja nikwambia binti nataka nikachukue vocha kama Kuna maduka ya karibu,nikwamwobe aje pembeni tuongee,tukasogea pembeni kidogo sehem ambayo wale wengne walkuwa hawatuoni nikatoa 100k nikampa,afu nikaondoka nkamwambia ntarudi within 15 minutes.....nilifanya kusudi kuondoka Kwa zile dakka Ili akirudi kwa marafiki zake wajadili jinsi ya kutumia hyo 100k.
Nilizunguka maeneo ya hapo hapo baada ya kama dakka 15 nkarudi nkakuta wameagiza chupa mbili za wine [emoji485].Binti kanitext "are you okay"?! Nikamjibu am okay.
Nikamuuliza mbona mnakunywa wine tu hamna nyama?!! Akasema amebaki na 10k tu kwa ajil ya bajaj kurudi home coz alijua kuwa nmemtelekeza......Duuh nikashtuka kumbe chupa moja ni 45k.....nikamuuliza nyama akasema ni 35k......nikamwambia agiza,waiter akaje tukaagiza na Mimi nkachukua bia zangu mbili jumla 50k pamoja na nyama. Wadada wako enjoy pale,tukapga story baada around saa tatu wakaomba kuondoka nikiwapa go ahead wine ilkuwa imeanza kuwapelekesha. Uber bajaj ilkuja wakaondoka zao na Mimi nikaita zangu bajaji huyo. Kwahyo nkajikuta nmeokoa 100k.
Personally niliona nimewakomoa kumbe wali appreciate sana wakaniona Niko very kind.Next weekend walinialika geto kwahyo nikale ubwabwa mmoja matata sana.
Toka hapo Binti akuwahi kuja na wenzie Tena,nikawa kwanini siku hizi haji nao tena anasema kwa Sasa amenizoea kwa hyo ana haja ya escort.
Kuwatelekeza hawa viumbe kwenye scenerio kama hizo inakuwa umafia wa Hali ya juu sana,Bora ukamchana mkuu wao wa msafara kuwa una bajeti yao afu waone wanajichangaje,kuliko kuwaagizia afu ukale Kona, and by the way ningekimbia siku ile sijui hawa mapacha wangu ningewapata wap?..Mungu ametubariki fraternal twins mimi na dear future wife[emoji847][emoji847][emoji847]
Mkongwe kabisa humu lakini ulichoandika sijui. First dates zina maeneo yake mkuu, kuna sehemu nzuri za wazi watu wanakutana bila woga.Ujafikia umri wakufanya mapenzi first date unataka aje pekee anajuaje wewe kama ni mtu mwema unaushamba sana mtoto wa kiume unakuja kuadithia upuuzi hapa katika shamba la wanaume?? Wewe unaona kama umewakomoa yawezekana kuna mahali walipata changamoto kutokana na hilo ulilolifanya! Basi nikwambie KARMA NEVER SLEEP,KARMA IS BITCH KARMA WILL REVENGE IN OTHER WAY! Ndiyo ujumbe nakuachia.
Pole sana mkuu. Chamsingi Forget and Move on. The past has passedHuwezi amini mpaka mimi najishangaa ilíkua mimi au nilirogwa miaka yote mitatu!!!!Duuuh yule dada wa CBE ana roho ngumu balaa!!!!Afu cha ajabu hatukunanii eti mpaka tufunge ndoa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Yeah ndivyo nilivyofanya kakaPole sana mkuu. Chamsingi Forget and Move on. The past has passed
Badala ya kuwafunza kwa maneno amechagua kuwafunza kwa vitendo tatizo liko wapi 🤣🤣🤣Sasa kwanini hukuwaambia pale pale kwamba bakini
Hii ilikuwaje mkuu, tupe kisa chake kidogo tafwazal 🤣Wakitóa taarifa umekwisha!!!!Hukumbuki yaliyompata top in dar!!!!!Enzi zile mpaka wakaamua kuyamalizia nje ya vyombo vya dol........!!!!!
Nikitulia mkuu nitaleta uzi unaitwa MIMI NA MABINTI DAMU DAMU!!!!🤣🤣🤣🤣🤣😂Hii ilikuwaje mkuu, tupe kisa chake kidogo tafwazal 🤣
Shani aliyokula imelipiwa kwenye nauli alizowalipia hao wawili wa ziadaHawakufanya sawa kuja wengi, na wewe hukufanya sawa kutoroka hata kulipia sahani uliyokula wewe.
Acha kutoa vitisho wewe,kwa hiyo hata kama hakua mtu mwema kuja wengi kungebadili uhalisia?Ujafikia umri wakufanya mapenzi first date unataka aje pekee anajuaje wewe kama ni mtu mwema unaushamba sana mtoto wa kiume unakuja kuadithia upuuzi hapa katika shamba la wanaume?? Wewe unaona kama umewakomoa yawezekana kuna mahali walipata changamoto kutokana na hilo ulilolifanya! Basi nikwambie KARMA NEVER SLEEP,KARMA IS BITCH KARMA WILL REVENGE IN OTHER WAY! Ndiyo ujumbe nakuachia.
UTapata kesi mkuu.Mwanamke akinifanyia hv naweza muandalia mtego wa mtungo
Nauli walienda kwa pamoja. Kukimbia kunatokana na woga sababu huna pesa ila unaweza kuwa na pesa na ukabaki na ukalipa sahani yako, sahani ya mwenzako kisha ukaondoka.Shani aliyokula imelipiwa kwenye nauli alizowalipia hao wawili wa ziada
hakuna ushamba hapo. Umefanya jambo sahihi kabisa.Ila mnaoliwa nauli sio ushamba acheni kuwatetea hawa wajinga, ukiitiwa outing hitakiwi kubeba kijiji
Wanaofanya michezo hiyo wengi ni wanachuo maana muda wote wapo availableHivi wenzetu hao marafiki wa kuwakusanya wanwatoaga wapi [emoji23]???
mi mbona sina
kumbeeWanaofanya michezo hiyo wengi ni wanachuo maana muda wote wapo available
Unakuta wanakaa hostel room moja ukimuita mmoja wao anabeba room nzima wanakuja