Nilichowafanya hawa mabinti wa IFM hawatanisahau

hakuna karma ya hivyo mkuu jiongeze...mtu mmekutana sehemu anakuambia njoo nikutoe ofa ya chakula cha mchana wewe ulivyo fara unaagiza chakula cha gharama kubwa wakati ukicheki pembeni huyo mwenzio anaekutoa ofa yeye kaagiza wali na maharage....halafu pia sio mbaya ukimuuliza bro mimi nataka wali kuku vipi! Yeye atakuambia kula tu au siko vizuri mfukoni....mfano mimi nakumbuka niliwahi kwenda manyoni singida kwa marafiki zangu sasa wakati wananitembeza kwenye ule mji tukawa tumeingia kwenye mgahawa uliopo katikati ya mji, jamaa wakaniambia agiza chakula cha ajabu wao wote waliagiza wali kwa nyama ya ng'ombe mchuzi mimi nilikuwa na hamu ya kula ugali kwa nyama ya mbuzi wa kuchoma ilibidi kwanza niwaulize jamani niagize ugali kwa nyama ya mbuzi wa kuchoma? Wakaniambia kaka agiza tu....hao madada kwa kifupi hicho kitendo walichofanyiwa na jamaa ni haki yao unakuwa kama vile unamkomoa mtu sio poa
 
Akili kubwa sana mkuu,much respect [emoji4][emoji1431]
 
Mkongwe kabisa humu lakini ulichoandika sijui. First dates zina maeneo yake mkuu, kuna sehemu nzuri za wazi watu wanakutana bila woga.
 
Acha kutoa vitisho wewe,kwa hiyo hata kama hakua mtu mwema kuja wengi kungebadili uhalisia?
 
Shani aliyokula imelipiwa kwenye nauli alizowalipia hao wawili wa ziada
Nauli walienda kwa pamoja. Kukimbia kunatokana na woga sababu huna pesa ila unaweza kuwa na pesa na ukabaki na ukalipa sahani yako, sahani ya mwenzako kisha ukaondoka.

Kuna scenario nilihadithiwa mzungu mmoja alifanya hivi bila kujua kuwa wale wote walitegemea alipe bili.

Yeye akaweka mezani akasema
"I have to be somewhere guys, let's keep in touch" akaacha pesa yake mezani ila bili ilibaki kubwa sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…