Nilichowafanya hawa mabinti wa IFM hawatanisahau

Amewaachia kisanga ili siku nyingine wajifunze kutopenda mteremko
 
Bado naendelea kupitia na kutathimini comment moja moja nilichobaini wanawake wengi wameumia na jamaa alichofanya😅😅😅
 
Hatari
 
Bado naendelea kupitia na kutathimini comment moja moja nilichobaini wanawake wengi wameumia na jamaa alichofanya😅😅😅
Katika masuala ya mapenzi, wanawake hawapendagi kuzidiwa ujanja na wanaume. Na halikadhalika wanaume hatupendi kuzidiwa ujanja na wanawake.
 
Ila weeyeee utakuwa muhuuuniiii.
 
Mimi kwenye suala la mapenzi huwa nipo straight. Nikimpa mualiko demu namwambia kabisa tangu mwanzo aje peke ake na baada ya offer tunaenda kulala pamoja
Mtu keshatombeka huko halafu namtokea nampa mualiko anijie na wenzake then wale na kunywa kwa pesa yangu halafu waondoke kisha aje anambie tuwe marafiki au hayupo tayari kwa mahusiano nimpe mda.

Kummake [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ilinikuta Mlimani City. Binti kaalikwa yeye, kaja na rafiki yake, bila kusema. Nikawapa walichotaka.

Ikanitokea tena New Jersey, hivyo hivyo. Binti wa Kitanzania.

Nikawapa walichotaka.

"Been granting wishes like a genie
Two bad hoes in two-piece bikinis
If you know you know..."

Pusha-T "If You Know You Know".
 
Ilibidi katika hao marafiki aliokuja nao,ujichagulie mzuri zaidi yake.Ungejilia mema ya nchi.
 
Aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…