Nilichowafanya hawa mabinti wa IFM hawatanisahau

Nilichowafanya hawa mabinti wa IFM hawatanisahau

Kaka kenya ufala wa kulisha kijiji ulishaisha?????Hapa bongo eti tunaambiwa ndio ugentleman kaka
ni ufala sanaa aiseee...me nishawahi kuwakimbia hawa viumbe..tena nilichukua boda kabsa sikugeuka nyuma..na simu nikazima..maeneo flan hivi sinza pale... kesho yake niliwasha simu daah matusi ka yoote..text za kutia hasira
 
Ujafikia umri wakufanya mapenzi first date unataka aje pekee anajuaje wewe kama ni mtu mwema unaushamba sana mtoto wa kiume unakuja kuadithia upuuzi hapa katika shamba la wanaume?

Wewe unaona kama umewakomoa yawezekana kuna mahali walipata changamoto kutokana na hilo ulilolifanya! Basi nikwambie KARMA NEVER SLEEP,KARMA IS BITCH KARMA WILL REVENGE IN OTHER WAY! Ndiyo ujumbe nakuachia.
We jamaa unscomment km umekatwa kichwa,ni kwmb kama ulivyosema huyo mdada ambacho angetakiwa kufanya ni kukataa akimwambia mwandishi kuwa bado hayupo comfortable kutoka nae means jamaa angeendelea kubuy time huku wakiendelea kufahamiana zaid mpk pale huyo demu atakua tayari plus kutoa papuch kabsa,na sio kubeba raia kwenda kumjazia mshkaji huku akijua mwaliko kapewa yy pekee
 
Sasa Bolt ifm Hadi Tabata si ungewanunulia Serengeti light hapo hapo mjini ukawaachia ukaondoka zako...next time unamwambia njoo peke yako..
Huyo binti alifanya makusudi ya wazi kabsaa...akulazimishaye maili moja nendanaye mbili[emoji1787]
 
Weekend nilikutana na binti mmoja mrembo sana akasema anasoma IFM. Tukabadilishana namba, nikamwambia Jumapili jioni ajiandae nitamtoa out

Nikachukua bolt hadi Shaaban Robert Street chuoni kwa binti mida ya saa mbili. Cha kushangaza akaja na wenzake watatu wananukia kama majini.

Safari ikaanza mpaka small planet Tabata.

Wakaagiza savana, mi nikaita mtu wa jikoni wakaagiza kila mtu msosi aupendao na mimi nikaagiza. Tukaanza kula nikajifanya naongea na simu nikachukua bodaboda kitandani.

Asubuhi nikakuta matusi mengine mapya kabisa yaani sms za matusi zinapishana tu kwenye simu

Ofa nilikupa wewe Suraiya wewe unaniletea timu ya Twiga stars,

Kwanza sijui kama hao walikuwa binadamu au majini, binadamu wa kawaida amashindwa kumaliza samaki changu wa saizi ya kiganja?
Hahahaha
 
S A F I S A N A. [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Mademu wa Chuo sijui watu huwa mnawachukuliaje ila Hawa Ni moja ya mademu washamba Sana wengi hawana Exposure na Maisha na wengi wametoka mikoani .
Hapa Tz. Mademu classic Kama zuchu wa diamond wanahesabika Sana mtoa Mada upo sahihi sana
 
Mtoa mada Lete namba yako ya M-PESA nikutumie bando, umefanya vzr hujakosea chochote, huyo demu ndo mpumbavu, maana ukishajionyesha kuwa una pesa, ukiishiwa, hakuna demu atakayekusaidia, hata wkukupa kitobo, hakitakusaidia kulipa kodi.

Na mnaompinga mtoa mada, acheni kusapoti ujinga, mimi hata kama nina hela, siwezi kukubali upumbavu na utaahira kama huo.
 
Mimi sisitadu mmoja aliniambia nilipie kabisa room anakuja🤣🤣🤣🤣 kilichotokea na simu yake akazima mpaka kesho yake na chumba nishalipia🤣🤣🤣🤣!!!!
Mie huwa naset mabomu sehemu mbili. Ikiwa moja imegoma inakuja backup
 
Kuna wakati michango yenu hamshirikishi akili wala hamtendi haki.

Zaidi mnajikosha muonekane mko matawi.
Maslay queen watatu mjini sehemu ya maana watatumia sio chini ya 30k kila mtu sawa na 90k plus bolt ya kutoka IFM to Tabata go and return kwasasa sio chini ya 40k.
Ukijumlisha na yeye mtoa out 30k=90+30k+40k=+160k na hapo hatujui huyu jamaa uwezo wake ukoje?.

Naelewa binti huenda alihofia usalama wake lakini alipaswa amtaarifu jamaa kuwa anakuja na rafiki yake angalau mmoja.

Wabongo tunajifanya matajiri kulisha kijiji ilhali wazungu wenyewe hawanyi ujinga huu.
1. Binti alipaswa kutoa taarifa.
2. Kijana mdukuzi naye asingepaswa kuwatelekeza angemwita pembeni tu pale walipokuja kwenye bolt kabla ya kwenda walipopanga kwenda angalau wabadili location waende sehemu nafuu kidogo ili aweze kuafodi gharama.

Tuache ujinga huu wakulisha vijiji kwa sifa za kijinga hasa katika hatua zetu za awali katika utafutaji.

3. Mabinti elimikeni pia...toeni taarifa kabla hamjatoka ili mkubaliwe kuleta rafiki zenu au mkataliwe na out ifie juu kwa juu badala ya kuaibishana mbeleni:

NOTE: maslay queens ni zaidi ya kupe...mmoja ataagiza wine 2 za 25k@ na msosi wa 20k hapo ni 70k
Yaani hadi mwisho unaweza kujikuta 250k imekata bila kutarajia.
Nondo nzito, ongeza sauti😃💪
 
𝖀𝖑𝖎𝖙𝖎𝖘𝖍𝖆 𝖘𝖆𝖓𝖆 𝖒𝖟𝖆𝖟𝖎.
 
Back
Top Bottom