Uchira 1
JF-Expert Member
- Oct 9, 2017
- 5,994
- 8,696
Kwel mkuu.Pia ukiamua kumtoa mwanamke out usiyemjua mpeleke sehemu unayoimudu sababu huna namna ya kucomfirm tabia zake za matumizi. Mpeleke sehemu hata akiwaza kukukomoa ataishia kuvimbiwa aharishe ila wewe utaweza kulipa. Wengine hutembelea eneo kabla ya kwenda na shemeji, anaagiza chai kisha anapitia menu na kuuliza info zote kuhusu gharama za vinywaji.
Kuvimba na kuingia five star bila kuweka wazi spending capacity yako kwa siku hiyo huku unasali asiagize kitu kikubwa nao ni ushamba.
Ila mkiwa watu wawil ambao inakuwa ni hesabu yako sehemu nying unaweza kumudu maana unajua pale gharama n hizi.
Wakiongezeka watu na huna taarifa ndipo unawatelekeza kama mkuu mwenzetu dadekiii mie naunga mkono yan sipendi upumbavuuu🤣🤣