Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii imenitokea mara 2 mkuu.Mimi sisitadu mmoja aliniambia nilipie kabisa room anakuja[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kilichotokea na simu yake akazima mpaka kesho yake na chumba nishalipia[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]!!!!
Narudia tena mwamba ameupiga mwingi sana kama Legendary Pele😄Sasa mbio za nn? Si unaweka kiasi cha fedha mezani kisha unaomba udhuru unawaacha? Wakati unatoka unamuomba shemej muongee kidogo pembeni unamwambia naomba wakati mwingine nipate nafasi tuzungumze leo hukunipa hiyo nafasi. Unadhani wangepiga kelele ww kijana lipa hii bili? Na hata wangepiga unadhani ungeshurutishwa kuilipa? Wangeonekana ni vichaa.
Awe Role model wako huyo, umemkubali sana.Narudia tena mwamba ameupiga mwingi sana kama Legendary Pele😄
Dawa ni kula chocho tu kama baharia hapo😅Kuepuka mizinga, nawashauri.
Acheni ubebi ubebi wa out na mablaa mablaaah.
Demu mwambie ajue kua unahitaji K. Kwamba anakuja muonane kwaajili ya kutiana .
Usifanye Ile ya Baby Leo tutoke out kwanza alafu sex siku nyingine
Maninaaa zakoooo ,utapururwa na kizazi Cha nyoka 😂😂😂😂
Natafuna wote kimya KimyaAhaaa na mimi ndio sipendqgi madharau,kwa hiyo mkuu uwa unatafuna hao mashoga zaje kumuonyesha kuwa huoendi madharau
watakwambia hawajui [emoji23][emoji23][emoji23]Kama ni issue ya usalama unampanga tu mapema inaeleweka
Siku hizi unaweza kama unahofia usalama wako sehemu unayoenda unaweza ukamtumia mtu live location yako akawa anafuatilia ulipo incase of anything unamtaarifu chap tu anafika ulipo
Sasa kwanini hukuwaambia pale pale kwamba bakini
[emoji482][emoji482]Sawa dadangu
Unatafutaa dear. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hivi wenzetu hao marafiki wa kuwakusanya wanwatoaga wapi [emoji23]???
mi mbona sina
Sio kidogo🤣🤣🤣Wewe naye ni mpuuzi
Na hicho karma nacho ni upuuzi kipeuo cha pili.
Karma ni hadithi za kusadikika acha kukaririUjafikia umri wakufanya mapenzi first date unataka aje pekee anajuaje wewe kama ni mtu mwema unaushamba sana mtoto wa kiume unakuja kuadithia upuuzi hapa katika shamba la wanaume?? Wewe unaona kama umewakomoa yawezekana kuna mahali walipata changamoto kutokana na hilo ulilolifanya! Basi nikwambie KARMA NEVER SLEEP,KARMA IS BITCH KARMA WILL REVENGE IN OTHER WAY! Ndiyo ujumbe nakuachia.
Unawaelekeza tu[emoji28]watakwambia hawajui [emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe ushapevuka hauwezi fanya hivyo ila wenzio wengi wanafanya hivyo.Sielewi kwanini uitwe wewe uje na marafiki zako...tena bila kumwambia aliyekuita yaani unamfanyia sapraiz?
Huu ni utoto ila inategemea na mazingira mliyokutana na huyo main manzi
Njaa na ushamba pia. Mtu mdogo wake anakaribia kuwa na birthday atakuambia mnunulie shemeji yako cake na anakulazimisha kabisa wakati wewe si baba wa huyo mtoto. Yaani atataka birthday ya nduguye ufanye wewe wakati huyo ndugu yake ana wazazi na anapigwa miti na wanaume wengine ambao hawana faida kwake ila mwisho wa siku zigo unatupiwa wewe. Kumamake demu wa namna hii namkubalia tu ila mwisho wa siku sitekelezi chochote, namuacha gizani na haibu yake. Pumbavu!Njaa nazo huwasumbua.
Unajua haiingii akilini.na si uungwana.Wewe ushapevuka hauwezi fanya hivyo ila wenzio wengi wanafanya hivyo.
Mkule na mdogo wake ili ajue uchungu wa wewe kuhudumia mali ya wengine 😄Njaa na ushamba pia. Mtu mdogo wake anakaribia kuwa na birthday atakuambia mnunulie shemeji yako cake na anakulazimisha kabisa wakati wewe si baba wa huyo mtoto. Yaani atataka birthday ya nduguye ufanye wewe wakati huyo ndugu yake ana wazazi na anapigwa miti na wanaume wengine ambao hawana faida kwake ila mwisho wa siku zigo unatupiwa wewe. Kumamake demu wa namna hii namkubalia tu ila mwisho wa siku sitekelezi chochote, namuacha gizani na haibu yake. Pumbavu!