Ilinikuta Mlimani City. Binti kaalikwa yeye, kaja na rafiki yake, bila kusema. Nikawapa walichotaka.
Ikanitokea tena New Jersey, hivyo hivyo. Binti wa Kitanzania.
Nikawapa walichotaka.
"Been granting wishes like a genie
Two bad hoes in two-piece bikinis
If you know you know..."
Pusha-T "If You Know You Know".