Nilidanganywa kumbe chuo hamna mademu

Hebu watoe out kama wawili uende nao mliman city if upo UDSM....kale nao ice cream wikiend moja wikiend nyngine muvi alaf uwagonge kiepe yai na kuku robo kama siku 3 uje hapa ulete mrejesho
 
Watalalaje wakati sisi course tunayosoma kuna dem mmoja na tupo 56.Demu mwenyewe wa hovyoo course yenyewe ni Mech eng.

Hizo course za kushuka na Ma triple integral hakunaga watoto wazuri! Tulia tu mkuu, ukishamaliza mambo ya kuchora miumbo kwenye three dimension utawakuta tu mitaani!
 
Yani wewe na wenye akili kama zako ndio mnapaswa kuwemo kwenye orodha ya waliokosa mkopo
 
Upo Chuo gani?nikipe pole nina uhakika sio one and only
 
Hebu watoe out kama wawili uende nao mliman city if upo UDSM....kale nao ice cream wikiend moja wikiend nyngine muvi alaf uwagonge kiepe yai na kuku robo kama siku 3 uje hapa ulete mrejesho
Kama UD kuna mwanafunzi wa aina hii kweli Elimu imeshuka!
 
mbona mimi nipo chuo flani na nixhaanza kukata watoto withn one month,tumia ujanja wa porn wew;,
 
We si ulisema hujui kutongoza dem unabaki unawachekea chekea, sasa utawaonaje...
 
Hizo course za kushuka na Ma triple integral hakunaga watoto wazuri! Tulia tu mkuu, ukishamaliza mambo ya kuchora miumbo kwenye three dimension utawakuta tu mitaani!
Hamjamuelewa...dogo hawezi kusoma bila demu....ndivyo alivyojipanga tangu mwanzo...msaidieni apate demu ili atoboe
 
Hebu watoe out kama wawili uende nao mliman city if upo UDSM....kale nao ice cream wikiend moja wikiend nyngine muvi alaf uwagonge kiepe yai na kuku robo kama siku 3 uje hapa ulete mrejesho
tatz dogo anatak akikaa hall1 o 6 o bbo madem waje rum t hat mazngra hatengenez
 
Kuna nyakati huwa naona sawa tu mikopo kupigwa panga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…