Nilidanganywa kumbe chuo hamna mademu

Nilidanganywa kumbe chuo hamna mademu

Aisee nilivyokuwa nasoma sekondari nilidanganywa ukifika chuo lazima upate demu kwa njia yoyote ile tena mademu wanakushobokea wenyewe na wanakutongoza wenyewe

Kulaleki kumbe walikuwa wananidanganya bana chuo hamna cha demu wala nini lazima uhaso kama vile sekondari tu yani mademu hakuna kabisa kama nilivyodhania

Nilijua nikifika chuo nitapata demu wa burebure kumbe hamna kitu kulaaaaaleki daah hapa nilipo nawaza ile kishenzi

Madogo wa seko ambao mpo humu msidanganywe chuo hamna mademu kabisa mademu wapo mtaani basi
Shukuru na hongera umepata mkopo
 
Soma kijana watu watakula kichwa na Bodi ya mikopo itakujia shauri yako
 
Aisee nilivyokuwa nasoma sekondari nilidanganywa ukifika chuo lazima upate demu kwa njia yoyote ile tena mademu wanakushobokea wenyewe na wanakutongoza wenyewe

Kulaleki kumbe walikuwa wananidanganya bana chuo hamna cha demu wala nini lazima uhaso kama vile sekondari tu yani mademu hakuna kabisa kama nilivyodhania

Nilijua nikifika chuo nitapata demu wa burebure kumbe hamna kitu kulaaaaaleki daah hapa nilipo nawaza ile kishenzi

Madogo wa seko ambao mpo humu msidanganywe chuo hamna mademu kabisa mademu wapo mtaani basi
Yaani mie nitoke zangu form 6 na B ya biology na C ya fizikia na chemistry halafu niende chuoni kuwa demu badala ya kusoma udaktari?

Hao unaowataka ni wale wa F na E.
 
Aisee nilivyokuwa nasoma sekondari nilidanganywa ukifika chuo lazima upate demu kwa njia yoyote ile tena mademu wanakushobokea wenyewe na wanakutongoza wenyewe

Kulaleki kumbe walikuwa wananidanganya bana chuo hamna cha demu wala nini lazima uhaso kama vile sekondari tu yani mademu hakuna kabisa kama nilivyodhania

Nilijua nikifika chuo nitapata demu wa burebure kumbe hamna kitu kulaaaaaleki daah hapa nilipo nawaza ile kishenzi

Madogo wa seko ambao mpo humu msidanganywe chuo hamna mademu kabisa mademu wapo mtaani basi
Wewe utakuwa upo SUA, maana hapo pamejaa mahunde tu
 
Hakuna cha bure mjini zaidi ya salamu.

Demu; Mambo Mkaka
Jamaa: Poa mrembo.
Demu; Sorry! Eti Yombo4 ni IPI?(Kwa upole)
Jamaa: (akiwa kachangamka tofauti na awali). Ahaaa! mbona umefika, Ni lile jengo ukivuka kile kidaraja.
Demu;: Ahsante Mwaya,
Jamaa: Usijali
Demu anaanza kuondoka kule alipoelekezwa. Kabla hajapiga hatua ya tatu anasikia sauti nyuma yake ikimuita si kwa jina lake.

Jamaa: Mrembo...! We Mdada!
Demu: (akiwa kageuka) Abeee!
Jamaa: Samahani, naweza kupata contact no. Zk?
Demu: (Akishusha pumzi), sorry sina simu Mimi.
Jamaa: (Kimya kilichoshahibizwa na kaupepo).

Mara ghafla wakiwa wamesimama Mlio wa simu kutoka katika mkoba wa Demu unasikika. Jamaa akanyanyua uso wake kwani alikuwa ameangalia chini.

Demu anasikia haya huku akiitoa simu mkobani.

Demu: Hee hello
Sauti kutoka simuni: Nimeshakuona tayari, angalia Mkono wako wa kulia(Ilikuwa sauti nzito kiasi ya kiume).
Demu anageuka mkono wa kulia kama alivyoelekezwa, Anakata simu baada ya kumwona Mwanaume aliyepo ndani ya gari ambaye bila shaka ndiye aliyekuwa anaongea nae. Anamuaga jamaa kwa kumpa Shukrani ya Punda huku jamaa akimtupia dua zake ambazo asilani hazimpati mwewe.

Jamaa anatoa kisimu chake cha kupanguza, anaonekana anaandika kitu kwa simu huku akiwa amekunja Uso.

Mimi napita namchungulia anachoandika, kumbe kaingia JF kutoa dukuduku lake.

Ameanzisha uzi wake Usemao "Nilidanganywa kumbe chuo hamna Mademu"

Sijafanikiwa kujua alichoelezea zaidi ya kichwa tuu.
Nasogea pembeni namimi Naingia JF ili nione atakachopost.

Hahaaaaaa!! kumbe ndio hichi.
Pole Mkuu Chuoni hakuna cha bure zaidi ya Salamu
 
Aisee nilivyokuwa nasoma sekondari nilidanganywa ukifika chuo lazima upate demu kwa njia yoyote ile tena mademu wanakushobokea wenyewe na wanakutongoza wenyewe

Kulaleki kumbe walikuwa wananidanganya bana chuo hamna cha demu wala nini lazima uhaso kama vile sekondari tu yani mademu hakuna kabisa kama nilivyodhania

Nilijua nikifika chuo nitapata demu wa burebure kumbe hamna kitu kulaaaaaleki daah hapa nilipo nawaza ile kishenzi

Madogo wa seko ambao mpo humu msidanganywe chuo hamna mademu kabisa mademu wapo mtaani basi
Ndio mikopo mnakopeleka huko?mkinyimwa mnatupigia kelele walipa kodi?
 
nipo muhas mkuu
Watu jana siku nzima wanakufundisha kutongoza wewe unaendelea kulalamika angalia usijeukabaka watoto wetu maana this is too much. Nenda hosp. wakuhasi ili usiwe na shida maana husikii mashauri ya watu.
 
Demu; Mambo Mkaka
Jamaa: Poa mrembo.
Demu; Sorry! Eti Yombo4 ni IPI?(Kwa upole)
Jamaa: (akiwa kachangamka tofauti na awali). Ahaaa! mbona umefika, Ni lile jengo ukivuka kile kidaraja.
Demu;: Ahsante Mwaya,
Jamaa: Usijali
Demu anaanza kuondoka kule alipoelekezwa. Kabla hajapiga hatua ya tatu anasikia sauti nyuma yake ikimuita si kwa jina lake.

Jamaa: Mrembo...! We Mdada!
Demu: (akiwa kageuka) Abeee!
Jamaa: Samahani, naweza kupata contact no. Zk?
Demu: (Akishusha pumzi), sorry sina simu Mimi.
Jamaa: (Kimya kilichoshahibizwa na kaupepo).

Mara ghafla wakiwa wamesimama Mlio wa simu kutoka katika mkoba wa Demu unasikika. Jamaa akanyanyua uso wake kwani alikuwa ameangalia chini.

Demu anasikia haya huku akiitoa simu mkobani.

Demu: Hee hello
Sauti kutoka simuni: Nimeshakuona tayari, angalia Mkono wako wa kulia(Ilikuwa sauti nzito kiasi ya kiume).
Demu anageuka mkono wa kulia kama alivyoelekezwa, Anakata simu baada ya kumwona Mwanaume aliyepo ndani ya gari ambaye bila shaka ndiye aliyekuwa anaongea nae. Anamuaga jamaa kwa kumpa Shukrani ya Punda huku jamaa akimtupia dua zake ambazo asilani hazimpati mwewe.

Jamaa anatoa kisimu chake cha kupanguza, anaonekana anaandika kitu kwa simu huku akiwa amekunja Uso.

Mimi napita namchungulia anachoandika, kumbe kaingia JF kutoa dukuduku lake.

Ameanzisha uzi wake Usemao "Nilidanganywa kumbe chuo hamna Mademu"

Sijafanikiwa kujua alichoelezea zaidi ya kichwa tuu.
Nasogea pembeni namimi Naingia JF ili nione atakachopost.

Hahaaaaaa!! kumbe ndio hichi.
Pole Mkuu Chuoni hakuna cha bure zaidi ya Salamu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nimependa stori yako
 
Back
Top Bottom