Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watalalaje wakati sisi course tunayosoma kuna dem mmoja na tupo 56.Demu mwenyewe wa hovyoo course yenyewe ni Mech eng.
Kama UD kuna mwanafunzi wa aina hii kweli Elimu imeshuka!Hebu watoe out kama wawili uende nao mliman city if upo UDSM....kale nao ice cream wikiend moja wikiend nyngine muvi alaf uwagonge kiepe yai na kuku robo kama siku 3 uje hapa ulete mrejesho
Acha shule mkuuAkili yangu imeshaathirika mkuu siwezi soma bila demu nilidanganywa nikifika chuo nitapata demu lakini mpaka sasa sijafanikiwa
Hamjamuelewa...dogo hawezi kusoma bila demu....ndivyo alivyojipanga tangu mwanzo...msaidieni apate demu ili atoboeHizo course za kushuka na Ma triple integral hakunaga watoto wazuri! Tulia tu mkuu, ukishamaliza mambo ya kuchora miumbo kwenye three dimension utawakuta tu mitaani!
tatz dogo anatak akikaa hall1 o 6 o bbo madem waje rum t hat mazngra hatengenezHebu watoe out kama wawili uende nao mliman city if upo UDSM....kale nao ice cream wikiend moja wikiend nyngine muvi alaf uwagonge kiepe yai na kuku robo kama siku 3 uje hapa ulete mrejesho