Shukuru na hongera umepata mkopoAisee nilivyokuwa nasoma sekondari nilidanganywa ukifika chuo lazima upate demu kwa njia yoyote ile tena mademu wanakushobokea wenyewe na wanakutongoza wenyewe
Kulaleki kumbe walikuwa wananidanganya bana chuo hamna cha demu wala nini lazima uhaso kama vile sekondari tu yani mademu hakuna kabisa kama nilivyodhania
Nilijua nikifika chuo nitapata demu wa burebure kumbe hamna kitu kulaaaaaleki daah hapa nilipo nawaza ile kishenzi
Madogo wa seko ambao mpo humu msidanganywe chuo hamna mademu kabisa mademu wapo mtaani basi
Hizi simu hizi..Mafuta##najua ulitaka kusema tafuta Mkuu.Mafuta maisha kwanza mademu wapo tu tena Kila siku wanazaliwa
Yaani mie nitoke zangu form 6 na B ya biology na C ya fizikia na chemistry halafu niende chuoni kuwa demu badala ya kusoma udaktari?Aisee nilivyokuwa nasoma sekondari nilidanganywa ukifika chuo lazima upate demu kwa njia yoyote ile tena mademu wanakushobokea wenyewe na wanakutongoza wenyewe
Kulaleki kumbe walikuwa wananidanganya bana chuo hamna cha demu wala nini lazima uhaso kama vile sekondari tu yani mademu hakuna kabisa kama nilivyodhania
Nilijua nikifika chuo nitapata demu wa burebure kumbe hamna kitu kulaaaaaleki daah hapa nilipo nawaza ile kishenzi
Madogo wa seko ambao mpo humu msidanganywe chuo hamna mademu kabisa mademu wapo mtaani basi
Wewe utakuwa upo SUA, maana hapo pamejaa mahunde tuAisee nilivyokuwa nasoma sekondari nilidanganywa ukifika chuo lazima upate demu kwa njia yoyote ile tena mademu wanakushobokea wenyewe na wanakutongoza wenyewe
Kulaleki kumbe walikuwa wananidanganya bana chuo hamna cha demu wala nini lazima uhaso kama vile sekondari tu yani mademu hakuna kabisa kama nilivyodhania
Nilijua nikifika chuo nitapata demu wa burebure kumbe hamna kitu kulaaaaaleki daah hapa nilipo nawaza ile kishenzi
Madogo wa seko ambao mpo humu msidanganywe chuo hamna mademu kabisa mademu wapo mtaani basi
Unaendana na kichwa chako.Akili yangu imeshaathirika mkuu siwezi soma bila demu nilidanganywa nikifika chuo nitapata demu lakini mpaka sasa sijafanikiwa
Hakuna cha bure mjini zaidi ya salamu.
Ndo mana nalalamika sina demu mpaka sasaWe si ndo ulilalamika jana hujui kutongoza? Au umeshafuzu?
Muhasupo chuo gani
nipo muhas mkuuKama umechaguliwa chuo cha kata pole.
Nenda "chuo" haswa utawaona.
Ndio mikopo mnakopeleka huko?mkinyimwa mnatupigia kelele walipa kodi?Aisee nilivyokuwa nasoma sekondari nilidanganywa ukifika chuo lazima upate demu kwa njia yoyote ile tena mademu wanakushobokea wenyewe na wanakutongoza wenyewe
Kulaleki kumbe walikuwa wananidanganya bana chuo hamna cha demu wala nini lazima uhaso kama vile sekondari tu yani mademu hakuna kabisa kama nilivyodhania
Nilijua nikifika chuo nitapata demu wa burebure kumbe hamna kitu kulaaaaaleki daah hapa nilipo nawaza ile kishenzi
Madogo wa seko ambao mpo humu msidanganywe chuo hamna mademu kabisa mademu wapo mtaani basi
Watu jana siku nzima wanakufundisha kutongoza wewe unaendelea kulalamika angalia usijeukabaka watoto wetu maana this is too much. Nenda hosp. wakuhasi ili usiwe na shida maana husikii mashauri ya watu.nipo muhas mkuu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nimependa stori yakoDemu; Mambo Mkaka
Jamaa: Poa mrembo.
Demu; Sorry! Eti Yombo4 ni IPI?(Kwa upole)
Jamaa: (akiwa kachangamka tofauti na awali). Ahaaa! mbona umefika, Ni lile jengo ukivuka kile kidaraja.
Demu;: Ahsante Mwaya,
Jamaa: Usijali
Demu anaanza kuondoka kule alipoelekezwa. Kabla hajapiga hatua ya tatu anasikia sauti nyuma yake ikimuita si kwa jina lake.
Jamaa: Mrembo...! We Mdada!
Demu: (akiwa kageuka) Abeee!
Jamaa: Samahani, naweza kupata contact no. Zk?
Demu: (Akishusha pumzi), sorry sina simu Mimi.
Jamaa: (Kimya kilichoshahibizwa na kaupepo).
Mara ghafla wakiwa wamesimama Mlio wa simu kutoka katika mkoba wa Demu unasikika. Jamaa akanyanyua uso wake kwani alikuwa ameangalia chini.
Demu anasikia haya huku akiitoa simu mkobani.
Demu: Hee hello
Sauti kutoka simuni: Nimeshakuona tayari, angalia Mkono wako wa kulia(Ilikuwa sauti nzito kiasi ya kiume).
Demu anageuka mkono wa kulia kama alivyoelekezwa, Anakata simu baada ya kumwona Mwanaume aliyepo ndani ya gari ambaye bila shaka ndiye aliyekuwa anaongea nae. Anamuaga jamaa kwa kumpa Shukrani ya Punda huku jamaa akimtupia dua zake ambazo asilani hazimpati mwewe.
Jamaa anatoa kisimu chake cha kupanguza, anaonekana anaandika kitu kwa simu huku akiwa amekunja Uso.
Mimi napita namchungulia anachoandika, kumbe kaingia JF kutoa dukuduku lake.
Ameanzisha uzi wake Usemao "Nilidanganywa kumbe chuo hamna Mademu"
Sijafanikiwa kujua alichoelezea zaidi ya kichwa tuu.
Nasogea pembeni namimi Naingia JF ili nione atakachopost.
Hahaaaaaa!! kumbe ndio hichi.
Pole Mkuu Chuoni hakuna cha bure zaidi ya Salamu
sijaomba mkopo nasoma kwa pesa za mzee wanguShukuru na hongera umepata mkopo
Kwa nini?Kijana kama huyu kupewa mkopo wa elimu ya juu ni hasara kwa taifa!
umechangia mada ya kipuuzi inamaanisha na wewe pia ni mpuuziMods,wekeni kitufe cha dislike.Mada za kipuuzi kama hizi hatuwezi kuzitendea haki bila hicho kitufe.