Nilidanganywa kumbe chuo hamna mademu

Soma kwanza officeni wapi wakutosha wana taka GPA nzuli na mshahala nzuli dogo
 
Mkuu nikajua unasema ulidanganywa chuo kuna boom, kumbe hakuna cha boom wala nini
 
Katika miaka mitatu niliokaa xhuo xikuwah kuwa na demu... unajua kwann? Mademu walio wengi wamekaa kimbuzi mbuzi yaan...
Hivi pamoja na kuwa na hiyo shahada bado unaandika ovyo namna hii kweli daa naisikitikia nchi yangu Tanzania ni nani aliyeturoga
 
Hivi pamoja na kuwa na hiyo shahada bado unaandika ovyo namna hii kweli daa naisikitikia nchi yangu Tanzania ni nani aliyeturoga
Hahahahahahahaa unazinguaaa xana broo sikusoma hgl wala hkl ... in fact nmesoma PCB then Bsc agronomy sokoine university of agriculture.
 

Visababishi vya kukosa mademu wakali wa chuo viko viwili tu vikubwa:-

1: Kutokuwa na akili darasani(Kilaza)
2: Kutokuwa na mpunga(Feza).

Kama huna vyote hivyo viwili, utachukua muda kuwapata
 
Upo chuo bado unaspell hivi daaah ukitoka Chuo nawe uanze Lalamika Ajira...wewe kichwa Maji kabisaa chuo umeenda kimakosa
 
Hebu watoe out kama wawili uende nao mliman city if upo UDSM....kale nao ice cream wikiend moja wikiend nyngine muvi alaf uwagonge kiepe yai na kuku robo kama siku 3 uje hapa ulete mrejesho
Naona umempa njia ya mkato ashindwe sasa inaonekana Hawez kutongoza hapa akishindwa sasa awe anapiga tu punyeto kujiridhisha
 
Hahaha mademu wote wale waliojazana chuo umekosa kwel?mbona mademu kibao tena wa kubadilibadili utakavyo
 
We ndo yule ulielalamikiwa unasumbua pm ya dada wa watu ....umepanik eee
 
Kama walivyoshauri wengine Jitofautishe na wao Kwa A's. ukiwa kilaza, ukila kwenye foleni ya 1500/= hutakuwa na jipya wengi wanatafuta protection and assuarence
 
Daaahhh inalekea we bwana mdogo ni calabash tu hamna kitu... Debe tupu[emoji53][emoji53][emoji53]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…