Nilidanganywa kumbe chuo hamna mademu

Nilidanganywa kumbe chuo hamna mademu

Sky Eclat

UMEONGEA UKWELI, ILI WADADA WA CHUO WAKUGANDE INABIDI UWE NA MOJA KATI YA HVI:
1. uwe jembe kwenye masomo
2. Uwe na hela
3. Au vyote kwa pamoja..

Ukiwa jembe hao wadada watakuganda mpaka utawachoka, hadi misosi watakununulia, simu watakupgia muda wote, ukiumwa ndo watakosa amani (siyo kwamba wanajali afya yako, wanawaza ukiumwa watafaulu vp).. Kiufupi kila ktu watakupa..

Sasa mtoa mada kama ni chicken head na hela hauna utaisoma namba.
 
Aisee nilivyokuwa nasoma sekondari nilidanganywa ukifika chuo lazima upate demu kwa njia yoyote ile tena mademu wanakushobokea wenyewe na wanakutongoza wenyewe

Kulaleki kumbe walikuwa wananidanganya bana chuo hamna cha demu wala nini lazima uhaso kama vile sekondari tu yani mademu hakuna kabisa kama nilivyodhania

Nilijua nikifika chuo nitapata demu wa burebure kumbe hamna kitu kulaaaaaleki daah hapa nilipo nawaza ile kishenzi

Madogo wa seko ambao mpo humu msidanganywe chuo hamna mademu kabisa mademu wapo mtaani basi
Vp umeshapima UKIMWI? Soma kwanza, utaoa mke wako maisha yatakuwa mulua kabisaaa.
 
Sky Eclat

UMEONGEA UKWELI, ILI WADADA WA CHUO WAKUGANDE INABIDI UWE NA MOJA KATI YA HVI:
1. uwe jembe kwenye masomo
2. Uwe na hela
3. Au vyote kwa pamoja..

Ukiwa jembe hao wadada watakuganda mpaka utawachoka, hadi misosi watakununulia, simu watakupgia muda wote, ukiumwa ndo watakosa amani (siyo kwamba wanajali afya yako, wanawaza ukiumwa watafaulu vp).. Kiufupi kila ktu watakupa..

Sasa mtoa mada kama ni chicken head na hela hauna utaisoma namba.
Birthday yako utakimbia zawadi na kila mtu atataka kukuonyesha ufundi wake wa kupika chakula
 
Eh wanawake wa chuo kwa kuigiza wanatisha

Sky Eclat

ILA MKISHAMALIZA CHUO HAWANA MPANGO NA WEWE NA NAMBA WANAFUTA KABISA KUDADEKI.

Mkuu umemaliza shule bado unaisoma number wakati wale uliowasaidia assignments wamepata C na PASS mark tu wmeshapata ajira kwa majina ya baba zao wanakupita kituo cha daladala wakiwa kwenye VX8
 
Ahaha

Sky Eclat

HAPO CHACHA, WANAKUPITA KAMA HAWAKUJUI, UKIKUTANA NAO WANAJIFANYA WAMESAHAU

DAH! DUNIA INA MAMBO HII.. HATA CONECTION HAWAKUPI
 
Sky Eclat HATARI, NIMEWAHI KUKUMBANA NALO HILO INTERVIEW YANGU YA KWANZA MWAKA 2013 NILIPOMALIZA CHUO

NILIYEMBEBA ALIPATA 98 HALAFU MIMI 74.. MSTARI UKAPITA KWENYE 80 HUKO.. NILISHANGAA..

NIKAJUA KWELI SHULENI AKILI ILA KAZI MIPANGO..
 
Hasa umbebe mtoto wa kike kwa kweli usitegemee mengi tena utashangaa kesho anaitwa mrs .... ukija shtuka mume wake ni DIrector General
 
Aisee nilivyokuwa nasoma sekondari nilidanganywa ukifika chuo lazima upate demu kwa njia yoyote ile tena mademu wanakushobokea wenyewe na wanakutongoza wenyewe

Kulaleki kumbe walikuwa wananidanganya bana chuo hamna cha demu wala nini lazima uhaso kama vile sekondari tu yani mademu hakuna kabisa kama nilivyodhania

Nilijua nikifika chuo nitapata demu wa burebure kumbe hamna kitu kulaaaaaleki daah hapa nilipo nawaza ile kishenzi

Madogo wa seko ambao mpo humu msidanganywe chuo hamna mademu kabisa mademu wapo mtaani basi
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] ngoja nikamalizie kicheko group fln LA WhatsApp[emoji3] [emoji3] [emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom