enjai ya kyasha
JF-Expert Member
- Apr 6, 2017
- 3,089
- 3,634
Unataka alete mrejesho kwamba amepuruliwa hela afu wakasepa?Hebu watoe out kama wawili uende nao mliman city if upo UDSM....kale nao ice cream wikiend moja wikiend nyngine muvi alaf uwagonge kiepe yai na kuku robo kama siku 3 uje hapa ulete mrejesho
Vp umeshapima UKIMWI? Soma kwanza, utaoa mke wako maisha yatakuwa mulua kabisaaa.Aisee nilivyokuwa nasoma sekondari nilidanganywa ukifika chuo lazima upate demu kwa njia yoyote ile tena mademu wanakushobokea wenyewe na wanakutongoza wenyewe
Kulaleki kumbe walikuwa wananidanganya bana chuo hamna cha demu wala nini lazima uhaso kama vile sekondari tu yani mademu hakuna kabisa kama nilivyodhania
Nilijua nikifika chuo nitapata demu wa burebure kumbe hamna kitu kulaaaaaleki daah hapa nilipo nawaza ile kishenzi
Madogo wa seko ambao mpo humu msidanganywe chuo hamna mademu kabisa mademu wapo mtaani basi
Birthday yako utakimbia zawadi na kila mtu atataka kukuonyesha ufundi wake wa kupika chakulaSky Eclat
UMEONGEA UKWELI, ILI WADADA WA CHUO WAKUGANDE INABIDI UWE NA MOJA KATI YA HVI:
1. uwe jembe kwenye masomo
2. Uwe na hela
3. Au vyote kwa pamoja..
Ukiwa jembe hao wadada watakuganda mpaka utawachoka, hadi misosi watakununulia, simu watakupgia muda wote, ukiumwa ndo watakosa amani (siyo kwamba wanajali afya yako, wanawaza ukiumwa watafaulu vp).. Kiufupi kila ktu watakupa..
Sasa mtoa mada kama ni chicken head na hela hauna utaisoma namba.
Eh wanawake wa chuo kwa kuigiza wanatisha
Sky Eclat
ILA MKISHAMALIZA CHUO HAWANA MPANGO NA WEWE NA NAMBA WANAFUTA KABISA KUDADEKI.
Hasa umbebe mtoto wa kike kwa kweli usitegemee mengi tena utashangaa kesho anaitwa mrs .... ukija shtuka mume wake ni DIrector GeneralSky Eclat HATARI, NIMEWAHI KUKUMBANA NALO HILO INTERVIEW YANGU YA KWANZA MWAKA 2013 NILIPOMALIZA CHUO
NILIYEMBEBA ALIPATA 98 HALAFU MIMI 74.. MSTARI UKAPITA KWENYE 80 HUKO.. NILISHANGAA..
NIKAJUA KWELI SHULENI AKILI ILA KAZI MIPANGO..
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] ngoja nikamalizie kicheko group fln LA WhatsApp[emoji3] [emoji3] [emoji3]Aisee nilivyokuwa nasoma sekondari nilidanganywa ukifika chuo lazima upate demu kwa njia yoyote ile tena mademu wanakushobokea wenyewe na wanakutongoza wenyewe
Kulaleki kumbe walikuwa wananidanganya bana chuo hamna cha demu wala nini lazima uhaso kama vile sekondari tu yani mademu hakuna kabisa kama nilivyodhania
Nilijua nikifika chuo nitapata demu wa burebure kumbe hamna kitu kulaaaaaleki daah hapa nilipo nawaza ile kishenzi
Madogo wa seko ambao mpo humu msidanganywe chuo hamna mademu kabisa mademu wapo mtaani basi
Labda sio muhas[emoji3] [emoji3] [emoji3]ukiwa Mr A katika masomo watajisogeza wenyewe, na wakati wa mitihani wengine watalala chumbani kwako kabisa.
Kut*mb*na hakuna cha daktari wala mwalimu..tena madokta,mapolis na wanajeshi kwa kugongana wanaongozaWapi wewe, achakujipaisha kwani madaktari awapendwagi