kidadari
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 8,647
- 9,604
Hahahahaah ni.Hahaaa mkuuu...
Ume diverge sanaaaa...
Mpk kwenye upishiiiiii....?
Tena miaka hiooo....?
Ulizunguka round about nn.......?
Tulikua tunasema ku intergrate zero.
Kua mkweli mkuu.....
Ulitagaa?
Kwa waliosoma miaka hiyo uliotaja, bado fursa za ajira zilikuwa ni nyingi. Mimi mwenyewe nimemaliza miaka michache mbele ya hapo, lakini nilizitema nafasi za kazi zaidi ya sita nilizopata ndani ya mwaka mmoja, zenye mshahara wa sh. 450,000/= za wakati huo 2004, nikachagua moja. Kwa hiyo kama unapika kwa mhindi kwa ujira huo tena za wakati huu, nadhani tatizo lipo upande wako