Nilidanganywa kusoma PGM nitakuwa rubani, leo hii mpishi kwa Mhindi

Kwahiyo unapika pilipili tu huko Mshukuru Muumba muweza wa yote hapo Fanya kama steping stone make hela nenda chuo kasomee urubani

Mimi nilisoma PCM nikasoma accounts nikakopa hela bank mil.80 na nikatembeza bakuli nikatafuta scholarship nikaenda Australia nika graduate FPCTL sasahivi ni rubani Etihad airways nalipwa dola 12 elfu p/m.Yani in mwendo wa paris, london, Frankfurt, Bangkok, Usikate tamaa.
Mmmh
 
Sijawahi muona mtu aliyetoka kimaisha kwa kufanya kazi kwa mhindi. Na ukitoka hapo unakua kama kuku la kisasa mpaka uambiwe kitu ufanye ndo unafanya sasa usipoambiwa unatulia tuli
[emoji28][emoji28][emoji119]
 
Uliambiwa usome wewe ukacheza unafikiri nini? Lazima adhabu ya kutokusoma ikuandame. Ungalipata div one A physics, A maths ungeenda engineering tu. Angalia vyuo vya engineering vinavyohaha kutafuta wanafunzi. Rubani kwa taarifa yako ni dereva kama wa Passo ila yeye Passo yake inaruka angani.
Hata mimi nilijua rubani ni msomi sana, kumbe hata form iv anaweza kusoma urubani,
 
Siku hizi marubani ni waliosoma form four na kupata hata div four bila kujali kasoma nini kigezo uwe mtoto wa kishua, unaanza vikozi vidogo vidogo vya kuendesha chopa, unakwenda nairobi kidogo, unakwenda sauzi ukirudi unaanza vikampuni vidogo unapata uzoevu mwisho unaanza kuyarusha
Mwisho unaanza kuyarusha. Nimependa sana hayo maneno
 
Ila wasomi wengi wananipa raha, hasa hawa fresh graduate wa kipindi hiki cha STONE aka ngumi jiwe

Yaan unamkuta mfano kaja ofisini kuomba kazi, cv zake sasa eti kamaliza la saba anaomba kufagia na kunyeshea maua, hapo hapo full kujifanya mshamba hajui hata neno moja la kiingereza usije kumshtukia[emoji1787][emoji28]

Badae wenzake waliosoma nae wanamchoma kuwa huyo mbona B.C.S

Kiufupi sio rahisi kuwagundua hawa special case
BCS maana yake nini? Kirefu chake tafadhali
 
Siku hizi marubani ni waliosoma form four na kupata hata div four bila kujali kasoma nini kigezo uwe mtoto wa kishua, unaanza vikozi vidogo vidogo vya kuendesha chopa, unakwenda nairobi kidogo, unakwenda sauzi ukirudi unaanza vikampuni vidogo unapata uzoevu mwisho unaanza kuyarusha
Ndege za sku hizi naskia ni kama kuendesha IST unabonyeza tu inaenda yenyewe
Miaka ya zaman katika washkaj kwao wakishua mzee wake alikua gvt flight amesoma soma st mary wala hakua na maa akiliiii alivomaliz akapelekwa sauz.sasa hiv ruban .
 
Babu sambeki mwenyewe alikuwa anarusha ndege na hiyo ilimuua
Nahisi kila kitu kuamua tu hakuna kinachoshindikana chini ya jua

Ova
 
Back
Top Bottom