Nilidanganywa kusoma PGM nitakuwa rubani, leo hii mpishi kwa Mhindi

Nilidanganywa kusoma PGM nitakuwa rubani, leo hii mpishi kwa Mhindi

Aliambiwa asome PGM ila sasa anaosha Vyombo vya mhindi. Hivyo hakufaulu na sababu kubwa ya kutofaulu Masomo hasa ya sayansi, acha kujitetea ni kutokuwa serious. Kwa hili hakuna siasa wala mambo ya kuzunguka. Hata angepata D ya physics na D ya mahesabu anachukuliwa. Mara nyingi kwenu K akianza kulika kabla ya kumaliza shule ndiyo holla
Ila kweli sometimes
 
Wakati nasoma A-level, Mkwawa High School (1999-2001) ulipita uvumi kuwa tunaosoma PGM tunaandaliwa kuwa marubani lakini leo hii ninafanya kibarua kama mpishi kwa Mhindi Masaki. Kwa mshahara wa 250,000/= kwa mwezi

Aisee elimu hii ovyo sana.
View attachment 1274044View attachment 1551198
Mentality ya kuajiriwa imekudumaza. Ungeuza genge kwa mwezi unapata zaidi ya hiyo 250k. Haya ukiendesha bodaboda tu utapata zaidi.
 
Lakini mbona una chance nzuri sana..jiendeleze upishi uwe chef mzuri..uje ufungue hotel ya mapishi ya kihindi
Una akili sana we jamaa. Huyu inaonekana anapenda upishi, ndio maana katulia tu na mshahara huo mdogo. Maana yake akomae ajifunze zaidi upishi kwa sababu nafsi yake inafurahia kuwemo humo. Atakujajikuta mpishi kilimanjaro hotel mshahara milioni 3.
 
Back
Top Bottom