Nilidanganywa kusoma PGM nitakuwa rubani, leo hii mpishi kwa Mhindi

Ila kweli sometimes
 
Mentality ya kuajiriwa imekudumaza. Ungeuza genge kwa mwezi unapata zaidi ya hiyo 250k. Haya ukiendesha bodaboda tu utapata zaidi.
 
Lakini mbona una chance nzuri sana..jiendeleze upishi uwe chef mzuri..uje ufungue hotel ya mapishi ya kihindi
Una akili sana we jamaa. Huyu inaonekana anapenda upishi, ndio maana katulia tu na mshahara huo mdogo. Maana yake akomae ajifunze zaidi upishi kwa sababu nafsi yake inafurahia kuwemo humo. Atakujajikuta mpishi kilimanjaro hotel mshahara milioni 3.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…