Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 19,644
- 40,546
Pesa yako tuu... Yaani simple hamna mambo mengi.. itakushinda phy ya form 2 wewe..?Aisee sikujua hata Ngumbaru anasoma urubani
Tension and pulley systemPesa yako tuu... Yaani simple hamna mambo mengi.. itakushinda phy ya form 2 wewe..?
Ewaaaaah force power and energy... Bhass ushamaliza anTension and pulley system
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]TEKU hawana hiyo kozi?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Aisee sikujua hata Ngumbaru anasoma urubani
Inalipa? Chibu ana elimu gan?Kasomee miamba kama Professor Muhongo.
HongeraNilisoma nutrition nikijua nitakwenda kupika ikulu..
Kwa Sasa mm ni mama ntilie
Barrick anatafuta geologists inalipaInalipa? Chibu ana elimu gan?