Nilidanganywa kusoma PGM nitakuwa rubani, leo hii mpishi kwa Mhindi

Nilidanganywa kusoma PGM nitakuwa rubani, leo hii mpishi kwa Mhindi

255653349292_status_fdc76d67d900443b91208e536eaff93d.jpeg
 
Uliambiwa usome wewe ukacheza unafikiri nini? Lazima adhabu ya kutokusoma ikuandame. Ungalipata div one A physics, A maths ungeenda engineering tu. Angalia vyuo vya engineering vinavyohaha kutafuta wanafunzi. Rubani kwa taarifa yako ni dereva kama wa Passo ila yeye Passo yake inaruka angani.
Acha uwongo mkuu
 
Mkwawa ilikua shule nzuri sana mkuu..vibaya sana!
mwenyewe kdg nimeshangaaa...
Mkwawaaa????
Enzi hizo hata hizo za private nyingi zilikua zinasubirii....

Mtoa akienda kueleza ndoto zake pale airport km si mfupi,
naamini watamsikiliza
Air hostessi au steward zinamfaa kwa sasa kwa kufuata jinsia yake km ni ke au me...

Ila kama alitaga....
Labda akawe rubani wa kaburu.
 
Wakati nasoma A-level, Mkwawa High School (1999-2001) ulipita uvumi kuwa tunasoma PGM tunaandaliwa kuwa marubani lakini leo hii ninafanya kibarua kama mpishi kwa Mhindi Masaki.

Aisee elimu hii ovyo sana.
Bora ungesema aeronautical engineer kuliko kusema rubani. Rubani hata mtu wa arts akiwa na pesa anapata.
 
Wakati nasoma A-level, Mkwawa High School (1999-2001) ulipita uvumi kuwa tunasoma PGM tunaandaliwa kuwa marubani lakini leo hii ninafanya kibarua kama mpishi kwa Mhindi Masaki.

Aisee elimu hii ovyo sana.
Hongera sana mkuu kwa kufanya kazi masaki.
 
Hahahaahaha

"Mipango ya Mungu" Mamaima

 
bw mpishi kama badala ya kwenda prepo ulikuwa unaenda makanyagio au ruaha club disko au uwanjani kule chini kuinamisha mademu au kusimama kwenye korido za juu gizani kula mate watoto wa watu utakuwaje rubani? ukimuona mwalimu Mgimwa..Masatu..Tende waambie nawasalimia
Atakua alikua anaenda viva uyu
 
Pole sana jamani!
Usikubali mtu aendeshe msimamo wako, fanya kile ambacho moyo wako unakusukuma kufanya!

Wengi tunakwama sababu ya kuruhusu watu waendeshe misimamo yetu!
 
Back
Top Bottom