Nilidanganywa kusoma PGM nitakuwa rubani, leo hii mpishi kwa Mhindi

Acha uwongo mkuu
 
Mkwawa ilikua shule nzuri sana mkuu..vibaya sana!
mwenyewe kdg nimeshangaaa...
Mkwawaaa????
Enzi hizo hata hizo za private nyingi zilikua zinasubirii....

Mtoa akienda kueleza ndoto zake pale airport km si mfupi,
naamini watamsikiliza
Air hostessi au steward zinamfaa kwa sasa kwa kufuata jinsia yake km ni ke au me...

Ila kama alitaga....
Labda akawe rubani wa kaburu.
 
Wakati nasoma A-level, Mkwawa High School (1999-2001) ulipita uvumi kuwa tunasoma PGM tunaandaliwa kuwa marubani lakini leo hii ninafanya kibarua kama mpishi kwa Mhindi Masaki.

Aisee elimu hii ovyo sana.
Bora ungesema aeronautical engineer kuliko kusema rubani. Rubani hata mtu wa arts akiwa na pesa anapata.
 
Wakati nasoma A-level, Mkwawa High School (1999-2001) ulipita uvumi kuwa tunasoma PGM tunaandaliwa kuwa marubani lakini leo hii ninafanya kibarua kama mpishi kwa Mhindi Masaki.

Aisee elimu hii ovyo sana.
Hongera sana mkuu kwa kufanya kazi masaki.
 
Hahahaahaha

"Mipango ya Mungu" Mamaima

 
Atakua alikua anaenda viva uyu
 
Pole sana jamani!
Usikubali mtu aendeshe msimamo wako, fanya kile ambacho moyo wako unakusukuma kufanya!

Wengi tunakwama sababu ya kuruhusu watu waendeshe misimamo yetu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…