Nilidanganywa kusoma PGM nitakuwa rubani, leo hii mpishi kwa Mhindi

Nilidanganywa kusoma PGM nitakuwa rubani, leo hii mpishi kwa Mhindi

Vumilia tu. Hata rais wetu kipenzi doctor John Joseph Pombe Magufuli hakutegemea kua rahisi
 
Kufikiri wewe ni mshambuliaji haimaanishi ndio umezaliwa hivyo

Huwezi kusema umezaliwa mshambuliaji eti kwa kuwa unapenda kuwa mshambuliaji

Mwisho wa siku kuna anayepanga wewe uwe nani

Wewe unafikiri umezaliwa mshambuliaji lakini mpangaji amepanga uwe kipa
hakuna anayekupangia uishi vipi
Unapanga mwenyewe, mtoa mada angekuwa na hela angesoma urubani

If you have a dream you can achieve
Wengi wanafeli kwa sababu ya ukata
 
Hata ungefanikiwa kuwa rubsni ungeangusha ndege..kenge wewe.
Ufike A-level tena pgm ushindwe kujiendeleza?
Unatakiwa iletewe urubani kwenu?
Komaa wewe kifutu wewe
Wakati nasoma A-level, Mkwawa High School (1999-2001) ulipita uvumi kuwa tunaosoma PGM tunaandaliwa kuwa marubani lakini leo hii ninafanya kibarua kama mpishi kwa Mhindi Masaki. Kwa mshahara wa 250,000/= kwa mwezi

Aisee elimu hii ovyo sana.
 
Uzembe wako tu leo ungekuwa na ajira nzuri tu nahisi labda uliharibu kabisa matokeo ungesoma hata HGE HGK leo unhekuwa lawyer mkubwa tu
 
Usikate tamaa angali Bado unaishi.... Fight fight fight[emoji123][emoji123][emoji123]
 
Mkwawa 2003-2005.Wazee wa Science Block,Makanyagio sio
Wakati nasoma A-level, Mkwawa High School (1999-2001) ulipita uvumi kuwa tunaosoma PGM tunaandaliwa kuwa marubani lakini leo hii ninafanya kibarua kama mpishi kwa Mhindi Masaki. Kwa mshahara wa 250,000/= kwa mwezi

Aisee elimu hii ovyo sana.
 
Hahaaa mkuuu...
Ume diverge sanaaaa...
Mpk kwenye upishiiiiii....?
Tena miaka hiooo....?
Ulizunguka round about nn.......?
Tulikua tunasema ku intergrate zero.

Kua mkweli mkuu.....
Ulitagaa?
Kwa miaka hiyo ulikosaje kazi,nimejiuliza.
 
bw mpishi kama badala ya kwenda prepo ulikuwa unaenda makanyagio au ruaha club disko au uwanjani kule chini kuinamisha mademu au kusimama kwenye korido za juu gizani kula mate watoto wa watu utakuwaje rubani? ukimuona mwalimu Mgimwa..Masatu..Tende waambie nawasalimia
Wamekuitika. Fanta ni Dr pale Muce.Makwaya anakupa hai
 
Hahahhahaha Mm nilichaguliwa iyo combination ila nikabadilisha enz hzo nikasoma PCB ,
Ila ni kawaida kutofanyia kazi ki2 ulichosomea
 
Wakati nasoma A-level, Mkwawa High School (1999-2001) ulipita uvumi kuwa tunaosoma PGM tunaandaliwa kuwa marubani
Sisi wakati tunasoma PCM tuliambiwa tunaandaliwa kuwa WAHANDISI na wengi vichwa vilivimba sana na kuweka nia hiyo.

Leo hii kweli wengine ni wahandisi, wengine ni waalimu, wengine ni wahasibu, wengine ni bank tellers na wengine ni madalali wa kuuza nyumba, magari na mashamba. Maisha sio tambarare kama tunavyopenda iwe.
 
hahahahaha inaonekana ulikua unajimwafai sana mbele ya wanafunzi wa arts dadeki,endelea kupika mapilau na kachori kwa ustadi pengine utaongezwa mshahara
 
Back
Top Bottom