Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wakati nasoma A-level, Mkwawa High School (1999-2001) ulipita uvumi kuwa tunaosoma PGM tunaandaliwa kuwa marubani lakini leo hii ninafanya kibarua kama mpishi kwa Mhindi Masaki. Kwa mshahara wa 250,000/= kwa mwezi
Aisee elimu hii ovyo sana.
View attachment 1274044
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila JF LOLVyakula vyake vitapanda ndege, hamna tatizo mkuu...
Poleeeeeh sana.Na pgm yangu niliishia kusoma agriculture engineering sua pamoja na wani yangu Kali hakuna cha urubani wala mavi yake urubani
Yeah sure......Kwa ulaya, waliofeli ndo wanaenda urubani.
Katika elimu kuna slow learner, medium na vipanga. Kila mtu lazima ajitume ili afanikiwe. Wengi huwa tunahangaika na MATOKEO bila kuangalia CHANZO. Kufeli kupo lakini ukiangalia chanzo ni kutojituma. Kuna masomo ya kusoma ukiwa na muziki pembeni na kuna masomo yanataka kujichimbia bila kelele. Inategemea wengi tupo slow learners lakini enzi zetu ilikuwa ni kusoma usiku kucha. Nashangaa kuona sasa hata youtube zipo zinafundisha, unaweza kupata e-books hata pdfdrive.com wanatoa vitabu bure mtu unakalia kuhangaika na ati Magufuli etc. Soma uangaze mbele. Watu wanadai hakuna kazi, lakini kazi zipo ila sasa lazima uwe umetusua kweli anza na form four, six, degree ya kwanza (GPA isiwe chini ya 4) na uhakikishe angalau una Masters ndipo utafute kazi.
Vp leo bado hujapika chicken masala!!Siku nafanikiwa kurusha ndege nitaandika kitabu " FROM PERIPERI CHEF TO CLOUD 9"
Darasani mlikuwa wangapi?Wakati nasoma A-level, Mkwawa High School (1999-2001) ulipita uvumi kuwa tunaosoma PGM tunaandaliwa kuwa marubani lakini leo hii ninafanya kibarua kama mpishi kwa Mhindi Masaki. Kwa mshahara wa 250,000/= kwa mwezi
Aisee elimu hii ovyo sana.
View attachment 1274044View attachment 1551198
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaah, kuna mtoto wa kaka akitaka kusogoa ndo anafanya hvyo.
Yaan huwa nacheka had baas