runtown
JF-Expert Member
- Feb 16, 2018
- 844
- 1,163
Ingefaa amle kimasiharaLabda mdada wa form 4 alikua na nyota kali,, ungeoa kabisa hata mke wa 7
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ingefaa amle kimasiharaLabda mdada wa form 4 alikua na nyota kali,, ungeoa kabisa hata mke wa 7
Biashara gan unafanya?Hili suala limenikuta mkuu, tangu nimtumue kijana kwa sababu za kukosa uaminifu, biashara imekufa kabisa.
Zamani kwa week nilikuwa nafunga hadi 1M, sahv kwa week nikifunga hela nyingi basi ni laki.. kupita siku 4 bila kuuza ni kawaida sana hadi nawaza niuze duka nihamie bishara nyingine
Security kama securityTatizo wengi hujifanya wastaarab hata kwenye mambo yanayobeba mustakabal wa maisha yao
doh sasa mimi sina mdada ofisini kwangu mdada peke angu imekaaje hapo?kuna watu unaweza ukawa nao ofisin wapo wapo tu ila trust me, ukiwaondoa tu unalia.
Wewe unajitosheleza, jeshi la mtu mmojadoh sasa mimi sina mdada ofisini kwangu mdada peke angu imekaaje hapo?
Security mimi najaribu kuwa honest, ila usianze kuniogopa sasaSecurity kama security
hahahaha kiboko yangu zanzibar one nyau mieSecurity mimi najaribu kuwa honest, ila usianze kuniogopa sasa
Unataka irudiwe?hahahaha kiboko yangu zanzibar one nyau mie
Ngoja kwanzi nicheke[emoji23].Duh, kweli nakubaliana kidogo na wadau wanaosema ishu ya nyota. Mimi dukani kwangu nnakaa masaa manne kwa siku, masaa mengine anakaa mkewangu. Nikiwepo mimi wateja wengi huniulizia 'yule dada yuko wapi'? Nawajibu ametoka kidogo, halafu wanaondoka[emoji16], yaani akiwepo mkewangu anauza sana tofauti na mimi
Nyota yako inaendana na ID yako kabisa 😂Duh, kweli nakubaliana kidogo na wadau wanaosema ishu ya nyota. Mimi dukani kwangu nnakaa masaa manne kwa siku, masaa mengine anakaa mkewangu. Nikiwepo mimi wateja wengi huniulizia 'yule dada yuko wapi'? Nawajibu ametoka kidogo, halafu wanaondoka[emoji16], yaani akiwepo mkewangu anauza sana tofauti na mimi
Biashara inategemea sana na upepo wa mtu yani. Kuna mtu akikaa biasharani anakuwa anakubalika na watu humiminika.Umenikumbusha kuna wakati nilikua nasimamia tractor ya mama mmoja hesabu yake kwa siku nilikua nampa laki tatu na mimi nabakiwa na laki na nusu siku zingine kazi zikichanganya nabaki mpaka na laki mbili hapo ni baada ya kutoa matumizi yote ya siku na kianzio cha siku iliyofata
Sasa watoto wake baada ya kuona napiga pesa fitna ikaingia wakanitumbua ili wasimamie wao, msimu uleule tractor ilipaki juu ya mawe na haijawahi kutembea tena ni miaka sasa imepita
Umeisema kimkakati sana mkuu neno fupi sana KIBALI tu asomae na afahamuTafuta mwingine mwenye kibali mweke hapo utoboe.
Wakati mwingine tunafanikiwa kupitia nyota za wengine
Kabisa! Unawatajirisha wengine tuHaya mambo hadi baadhi ya maofisi makubwa wanajua wanaweza tembelea nyota ya mfanyakazi bila hata mfanyakazi mwenyewe kujua