Mwananchi wa tanzania
New Member
- Apr 23, 2018
- 3
- 17
Zamani nilikuwa najua watu wanao kimbia madeni wanafanya kusudi
🙌🙌🙌
🙌🙌🙌
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio wabongo sisi kwa hasira mkopeshaji anajiuaHahah madeni yakizidi unaweza kujiua 😀
Hatari SANAAZamani ulikuwa huwezi kimbia deni. Ukifa linabebwa na ndugu zako
Kifupi kabla hujazikwa wanauliza "Kuna mtu anamdai marehemu?"
Siku hizi marehemu anakufa na madeni yake
Ukipitia kipindi cha kudaiwa inafika muda na wewe ukiwa wadai watu unawaelewa.Zamani nilikuwa najua watu wanao kimbia madeni wanafanya kusudi
🙌🙌🙌
Ukiishiwa rafiki na ndugu wanakutenga, hiyo hali naipitia mimi saizi.nimekimbiwa hadi na mwanamke kwakua nimefilisikaUkipitia kipindi cha kudaiwa inafika muda na wewe ukiwa wadai watu unawaelewa.
Hapa kati nimekuwa nikisamehe madeni maana kuna muda unamwona mtu si kwamba hataki kulipa ila uwezo hana.
Kuna kipindi nlikuwa nadaiwa na sina ela ya kulipa mwisho nikapoteza marafiki na kuitwa tapeli kumbe sikuwa hata na mia mbovu.
Pole sana. Utaivuka hiyo hali tu one day endelea kupambana....Ukiishiwa rafiki na ndugu wanakutenga, hiyo hali naipitia mimi saizi.nimekimbiwa hadi na mwanamke kwakua nimefilisika
Pole mkuu 50M 👀👀🤔Nadaiwa milioni 50 jumla yote.hapa nilipo naongea na benki zinazonidai na watu binafsi wanaonidai nione jinsi ya kuwalipa japo biashara zangu zote zimefilisika.
Tunatakiwa kuwa wavumilivu tunapodaiwa na wenye mali,tuvumilie matusi na kauli za unyanyapaa kutoka kwa ndugu na marafiki.
Mnaotudai hakika tunatamani kuwalipa lakini tumefilisika