dorge
Senior Member
- Feb 7, 2025
- 118
- 186
Bar fulani pale Kinyerezi nilipita kupata moja moto
Baada ya kumaliza wallah sijalewa kivile, ilikuwa mifuko ya nyuma ya jeans yangu imelegea ikadondoka pale kwenye tent la tasker kuna kigiza.
Nikasepa, akapita nayo huyo aidha barmaid au mwanamke kwa sababu iliokotwa kwenye dust bin chooni kwa kwa wanawake.
Huyu dada aliyeitoa kwenye lile bin la toilet akaichukua akachukua kitambulisho cha NMB wakasearch namba ya simu pale benk akanipigia dah ...
Dada wa benk: wewe ndio 'dorge'
Mimi: ni mimi dada nani mwenzangu?
Dada wa benk: ...nimeokota wallet yako ( )
Mimi: Wapi?
Yaani nilichoka kabisa.
Kwanza nikahisi ni tapeli, nilivuta punzi nyingi na kuitoa.
Mimi: Dada nikukute wapi?
Dada: .........
Akanielekeza....nikaenda kuipokea.
Mimi nilijitambulisha nikamdanganya maana nilikuwa na aibu za kiume.
Dada akaniambia anafanya kazi benk lkn nahisi alinidanganya kwa sababu namuonaga amevaa kipolisipolisi. Kwa harakaharaka nimehisi barmaid wengine walevi wana roho mbaya sana. Kama amechukua pesa why aitupe kwa dustbin. Utagundua roho mbaya ya huyu barmaid inamfanya aendelee kuishi bar na kuishia kushikwa mataco. Huyu dada wa benk au polisi sijui alivyo kiuchumi unaona kabisa wema unalipa.
Dada nakushukuru sana hadi leo.
Mytake. Huyu dada ana gari kali sana. Wema wake Mwenyezi Mungu anamuongoza. Jamani tujitahidi kutenda wema