Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Mkuu sio kila mwenye uchumi mzuri ni muungwana
Hapo ni wema wake tu akaona akutafute
Hapo ni wema wake tu akaona akutafute
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
naam nina reference za watu wangu wa karibu.Mkuu sio kila mwenye uchumi mzuri ni muungwana
Hapo ni wema wake tu akaona akutafute
Uongo ambao haujakamilikaMbona kuna ukakasi kwenye mada hii
Kuna kijana wetu wa kazi ni muaminifu sana kupita maelezonaam nina reference za watu wangu wa karibu.
Aisee kuzimu una I experience hapa hapa😁
Sijui ka ata ona ila yule dada wa mama, huwa ana lisha wafanyakazi vyakula vilivyo lala.Kuna kijana wetu wa kazi ni muaminifu sana kupita maelezo
Nina tabia ya kutembea na cash tangu utotoni mpaka leo
Kuna wakati nasahau hela kwenye mifuko
Anarudisha zote na mimi huwa Nampa nusu
sio mafinga ni Mufindi ndani ndani huko. 😃😃😃😃😃😃Maswala ya Mafinga haya
Bar fulani pale Kinyerezi nilipita kupata moja moto
Baada ya kumaliza wallah sijalewa kivile, ilikuwa mifuko ya nyuma ya jeans yangu imelegea ikadondoka pale kwenye tent la tasker kuna kigiza.
Nikasepa, akapita nayo huyo aidha barmaid au mwanamke kwa sababu iliokotwa kwenye dust bin chooni kwa kwa wanawake.
Huyu dada aliyeitoa kwenye lile bin la toilet akaichukua akachukua kitambulisho cha NMB wakasearch namba ya simu pale benk akanipigia dah ...
Dada wa benk: wewe ndio 'dorge'
Mimi: ni mimi dada nani mwenzangu?
Dada wa benk: ...nimeokota wallet yako ( )
Mimi: Wapi?
Yaani nilichoka kabisa.
Kwanza nikahisi ni tapeli, nilivuta punzi nyingi na kuitoa.
Mama: Dada nikukute wapi?
Dada: .........
Akanielekeza....nikaenda kuipokea.
Mimi nilijitambulisha nikamdanganya maana nilikuwa na aibu za kiume.
Dada akaniambia anafanya kazi benk lkn nahisi alinidanganya kwa sababu namuonaga amevaa kipolisipolisi. Kwa harakaharaka nimehisi barmaid wengine walevi wana roho mbaya sana. Kama amechukua pesa why aitupe kwa dustbin. Utagundua roho mbaya ya huyu barmaid inamfanya aendelee kuishi bar na kuishia kushikwa mataco. Huyu dada wa benk au polisi sijui alivyo kiuchumi unaona kabisa wema unalipa.
Dada nakushukuru sana hadi leo.
Mytake. Huyu dada ana gari kali sana. Wema wake Mwenyezi Mungu anamuongoza. Jamani tujitahidi kutenda
Dustbin hizihizi wanazowekaga yale mambo yao?! Aisee...Bar fulani pale Kinyerezi nilipita kupata moja moto
Baada ya kumaliza wallah sijalewa kivile, ilikuwa mifuko ya nyuma ya jeans yangu imelegea ikadondoka pale kwenye tent la tasker kuna kigiza.
Nikasepa, akapita nayo huyo aidha barmaid au mwanamke kwa sababu iliokotwa kwenye dust bin chooni kwa kwa wanawake.
Huyu dada aliyeitoa kwenye lile bin la toilet akaichukua akachukua kitambulisho cha NMB wakasearch namba ya simu pale benk akanipigia dah ...
Dada wa benk: wewe ndio 'dorge'
Mimi: ni mimi dada nani mwenzangu?
Dada wa benk: ...nimeokota wallet yako ( )
Mimi: Wapi?
Yaani nilichoka kabisa.
Kwanza nikahisi ni tapeli, nilivuta punzi nyingi na kuitoa.
Mama: Dada nikukute wapi?
Dada: .........
Akanielekeza....nikaenda kuipokea.
Mimi nilijitambulisha nikamdanganya maana nilikuwa na aibu za kiume.
Dada akaniambia anafanya kazi benk lkn nahisi alinidanganya kwa sababu namuonaga amevaa kipolisipolisi. Kwa harakaharaka nimehisi barmaid wengine walevi wana roho mbaya sana. Kama amechukua pesa why aitupe kwa dustbin. Utagundua roho mbaya ya huyu barmaid inamfanya aendelee kuishi bar na kuishia kushikwa mataco. Huyu dada wa benk au polisi sijui alivyo kiuchumi unaona kabisa wema unalipa.
Dada nakushukuru sana hadi leo.
Mytake. Huyu dada ana gari kali sana. Wema wake Mwenyezi Mungu anamuongoza. Jamani tujitahidi kutenda wema
Hapana, hii ni tabia ya bia aina ya balimi Ile fahari ya Kanda ya ziwa, inayotengenezwa Kwa mahindi!Hii stori ni ya mnywa smart gin boss
Tatizo bange mnachanganya na Mav!Bar fulani pale Kinyerezi nilipita kupata moja moto
Baada ya kumaliza wallah sijalewa kivile, ilikuwa mifuko ya nyuma ya jeans yangu imelegea ikadondoka pale kwenye tent la tasker kuna kigiza.
Nikasepa, akapita nayo huyo aidha barmaid au mwanamke kwa sababu iliokotwa kwenye dust bin chooni kwa kwa wanawake.
Huyu dada aliyeitoa kwenye lile bin la toilet akaichukua akachukua kitambulisho cha NMB wakasearch namba ya simu pale benk akanipigia dah ...
Dada wa benk: wewe ndio 'dorge'
Mimi: ni mimi dada nani mwenzangu?
Dada wa benk: ...nimeokota wallet yako ( )
Mimi: Wapi?
Yaani nilichoka kabisa.
Kwanza nikahisi ni tapeli, nilivuta punzi nyingi na kuitoa.
Mimi: Dada nikukute wapi?
Dada: .........
Akanielekeza....nikaenda kuipokea.
Mimi nilijitambulisha nikamdanganya maana nilikuwa na aibu za kiume.
Dada akaniambia anafanya kazi benk lkn nahisi alinidanganya kwa sababu namuonaga amevaa kipolisipolisi. Kwa harakaharaka nimehisi barmaid wengine walevi wana roho mbaya sana. Kama amechukua pesa why aitupe kwa dustbin. Utagundua roho mbaya ya huyu barmaid inamfanya aendelee kuishi bar na kuishia kushikwa mataco. Huyu dada wa benk au polisi sijui alivyo kiuchumi unaona kabisa wema unalipa.
Dada nakushukuru sana hadi leo.
Mytake. Huyu dada ana gari kali sana. Wema wake Mwenyezi Mungu anamuongoza. Jamani tujitahidi kutenda wema
Plus kaugwadu flan hivii,..Mbona kuna ukakasi kwenye mada hii
Mwamba itakuwa amelewa badoHiv wew mwenyewe ukiisoma hii story yako unaielewa ?