ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,753
- 9,575
bora wewe umemwambia haoni haibu kumcheat mkewe AKOME tena bora ameliwa hela zake anafikiri kumcheat mke mchezo hajui kuwa kuna maumivu yake NASEMA AKOME NA AMEKOMESHWA NA BADO naomuomba huyo aendelee kumkosmesha mpaka aende kuzima kwa dhambi yake ya uzinzi kama hajaitubia na kumrudia Mungu wake
Unaonekana mkuu wewe ni mzinzi sana una mke lakini bado macho waluwalu