Shida ya uelewa na ndio umaskiki wa mwafrika,zaidi asiyeamini kwenye sayansi ya afyaZa siku wakuu.
Kosa nililofanya, niko njiani natokea likizo nyumbani naelekea kazini, ninakoishi pamoja na familia nikasema nichukue mipira ya kiume (condoms), ili nikifika nyumbani kwa mke tuweze kutumia kwa ajili ya kuzuia mimba.
Wakuu nimefika nyumbani wife kageuza kibao, anasema hizi condoms ulichukua za kufanyia nini?, namwelewesha hanielewi, ndani hapakaliki.
Anasema ulikuwa unafanyia mambo yako afu unasema umeleta tutumie. Haelewi kabisa.
Wakuu hii shida inatatulikaje, najuta ningeacha tu kufanya ivo.
Siku nyingine toa taarifa kabla ya kununua na kupeleka icbm nyumbani. Mletee zawadi sasa akusamehe achana na kulalamikaZa siku wakuu.
Kosa nililofanya, niko njiani natokea likizo nyumbani naelekea kazini, ninakoishi pamoja na familia nikasema nichukue mipira ya kiume (condoms), ili nikifika nyumbani kwa mke tuweze kutumia kwa ajili ya kuzuia mimba.
Wakuu nimefika nyumbani wife kageuza kibao, anasema hizi condoms ulichukua za kufanyia nini?, namwelewesha hanielewi, ndani hapakaliki.
Anasema ulikuwa unafanyia mambo yako afu unasema umeleta tutumie. Haelewi kabisa.
Wakuu hii shida inatatulikaje, najuta ningeacha tu kufanya ivo.
Ndo hayo tena
Wakat naoa nilipata shida sana kwa mambo kama ukitaka kutoka uage,ukichelewa utoe taarifa,sjui ukitaka kufanya nn lazima umjulishe mwenzio,ni kaz sana kwa kwelMimi ndo maana ntachelewa kuoa!
Yaani kwenye ndoa huwezi kufanya maamuzi Binafsi na kufikia muafaka pasipo kumshirikisha mwenzio.
Ulitakiwa kumueleza Hilo jambo mapema ! Kwa akili ya kawaida fikiria wewe unarudi safarini Kisha unakuta ndani kwa mkeo Kuna condom!
Yaani alinunua pasipo kukushirikisha wewe! Muelewe ni binadamu pia.
Cha kufanya muoneshe huu uzi au kajisalimishe kwa kiongozi wa Kiroho akusaidie
Na huwa mnatumiaga condom? nani huwa anakuwa mnunuaji wa hizo kondom?Wote
DahKama bado hujazitumia njoo nazo tuzitumie.
Maana sijazitumia muda mrefu
Za siku wakuu.
Kosa nililofanya, niko njiani natokea likizo nyumbani naelekea kazini, ninakoishi pamoja na familia nikasema nichukue mipira ya kiume (condoms), ili nikifika nyumbani kwa mke tuweze kutumia kwa ajili ya kuzuia mimba.
Wakuu nimefika nyumbani wife kageuza kibao, anasema hizi condoms ulichukua za kufanyia nini?, namwelewesha hanielewi, ndani hapakaliki.
Anasema ulikuwa unafanyia mambo yako afu unasema umeleta tutumie. Haelewi kabisa.
Wakuu hii shida inatatulikaje, najuta ningeacha tu kufanya ivo.
Kweli mkuu!Wakat naoa nilipata shida sana kwa mambo kama ukitaka kutoka uage,ukichelewa utoe taarifa,sjui ukitaka kufanya nn lazima umjulishe mwenzio,ni kaz sana kwa kwel
ulikutwa na mbili ,mkeo akakuuliza ile moja inayokaa peke yake iko wapi,?Za siku wakuu.
Kosa nililofanya, niko njiani natokea likizo nyumbani naelekea kazini, ninakoishi pamoja na familia nikasema nichukue mipira ya kiume (condoms), ili nikifika nyumbani kwa mke tuweze kutumia kwa ajili ya kuzuia mimba.
Wakuu nimefika nyumbani wife kageuza kibao, anasema hizi condoms ulichukua za kufanyia nini?, namwelewesha hanielewi, ndani hapakaliki.
Anasema ulikuwa unafanyia mambo yako afu unasema umeleta tutumie. Haelewi kabisa.
Wakuu hii shida inatatulikaje, najuta ningeacha tu kufanya ivo.
Hahaha, mkuu huyo mwanamke anayeridhika na maelezo yoyote yale utakayompa kwenye mazingira hayo mchunguze vizuri.Linakushida vipi jambo jepesi kama hilo. Watu tunakutwa na condom pc moja pekee, halafu tunaweza kuelezea mbili zimeenda wapi na mwanamke anaridhika. Acha uzembe