Nilifikiri Mafwele atachukuliwa hatua kuwapumbaza waandamanaji, kumbe Samia wala hajali

Nilifikiri Mafwele atachukuliwa hatua kuwapumbaza waandamanaji, kumbe Samia wala hajali

love life live life

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2021
Posts
2,595
Reaction score
3,089
Nilidhani Mafwele atatolewa kafara kama kuwahadaa watanzania na waandamanaji wanaomuona Mafwele kama muuaji hata kwa kumuweka ubalozini au chini ya kapeti.

Na madelu licha kuchomewa mabasi yake kuashiria watanzania hawamtaki atarudishwa.

Bila kusahau Samia ataendelea kupiga picha na Angela Kiziga public.
 
Hivi huyo mama unamfahamu au unamsikia! Hata pale alipojiitambulisha hadharani kama yeye ni Chura Kiziwi, hukuelewa alimaanisha nini!!
 
Nilidhani mafwele atatolewa kafara kama kuwahadaa watanzania na waandamanaji wanao muona mafwele kama muuaji hata kwa kumuweka ubalozini au chini ya kapeti.
Na madelu licha kuchomewa mabasi yake kuashiria watanzania hawamtaki atarudishwa.
Bila kusahau Samia ataendelea kupiga picha na Angela kiziga public.
Samia kweli ni chura kiziwi
 
Back
Top Bottom