Nilifuma SMS za mapenzi kwenye simu ya mke siku yetu ya ndoa, bado nikamuoa lakini sasa nahisi kuchanganyikiwa sielewi nifanyeje?

Iwapo alisex na A, then B na ni siku za hatari, mimba ni ya A na hivyo basi yeye mwanamke ndiye anajua mimba ni ya A kwa sababu ndiye anajua kwamba A kamwaga ndani ila yeye B hajui hilo bali amepanda mbegu isiyo na manufaa.
Hii si lazima iwe hivyo.
Inategemea na fertility ya sperm za hao wanaume.
Wapo wanaume wengi tu hawawezi tungisha mimba mwanamke na sex wanafanya na wanashusha sperms kama kawaida.
 
Huyo mwanamke bado ajamalizana na mume wake wa kwanza
Napia mtoto anaweza asiwe wako
Ili usije ukamfanya kitu kibaya kwa hasira kaa nae mbali
 
Huyo mwanamke bado ajamalizana na mume wake wa kwanza
Napia mtoto anaweza asiwe wako
Ili usije ukamfanya kitu kibaya kwa hasira kaa nae mbali
Sawa ndugu yangu
 
Itoshe kusema na wewe utaachana naye, ila wewe utaachana naye akiwa kafanikiwa adhma yake ya kuwa na mtoto...
 
Kama ninkweli mrudishe kwanza kwao kwa wazai wake Kisha tafuta Bab ako muende kwao kueleza kwanin mnfunja ndoa

Hi mm nibora kumdhalilisha kuliko yey alichofanya kunidhalilosha
 
Kiongozitambua kuwa ulikosea toka mwanzo kwa kuanza kuzini nae kisha ndo ukaja ukaoa so usitafute mchawi nani mm nakushauri umrudie MUNGU wako utubu hyo dhambi ila kama ni mkristo rejea kusoma katika kitabu cha Wakorintho
kiongozi pole sana kwa madhila hayo ila tambua kuwa ulishakosea toka mwanzo kwa kuzini nae kabla ya kumuoa lkn kosa la pili ni kwamba umemuoa mke wa mtu kama ni Mkristo ukisoma Marko 10:11-12 utapata kuelewa alichokisema Yesu kuhusu ndoa hivyo ushauri wangu kwako ni kwanza ufanye toba ya dhati na ujutie dhambi ya uzinzi uliyoifanya kwa MUNGU wako kisha anza maisha mapya kuwa na imani kuwa MUNGU unaemuomba atakupa majibu ya mashaka yako! Angalizo kuwa makini usije ukajikuta unafanya kosa lingine la kuamua kufanya kile ambacho shetani atakuchochoea kufanya! Rudi kwa MUNGU wako tu! Mkuu!
 
Kutoka na history ya huyo manz kwa hilo tukio puuza kwakuw inaonyesh meanz kuw seriously miez hii ya karbun muwek chin mwambie nia yako after that akizungua tuletee single mother mtaan huyoi
 
Nilishindwa kuahirisha alinililia sana nisimdhalilishe mbele ya familia na ndugu zake
Endelea kuwa baba huruma halafu wazee wanajipakulia mkeo. Ameshakuona wewe ni dhaifu akilia tu unasamehe
 
navuta subira then ntafanya maamuzi magumu maana siwezi kuteseka hivi aisee
Bila shaka hii ni ''chai'' ya kuchangamsha kijiwe. Unajifanya wewe ulifanya mambo ya kibwege ili watu wengi wachangie uzi wako.
 
Ukweli unaponya, wanaume tumekuwa legelege mno miaka hii, huyo alitakiwa kuahirisha ndoa siku ile, he must've called it off.
Acheni kukuza mambo bwana! Mambo madogo tu hayo, uzito upo vichwani mwenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…