Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unazijua red flags za ndoa chafuKwema Wadau?
Naombeni ushauri wenu ndugu zangu,Nilikutana na Ex wangu ambaye aliniacha way back akaolewa but hakudumu ndoani alikaa 5 months only then after sometime akaolewa tena lakini hakudumu pia.Sababu ya ndoa zote kutodumu ilikuwa kutopata Mimba kiasi kwamba akasema hawezi kuolewa tena hadi abebe mimba,ajifungue ndio ataolewa.
Nilikutana nae Last Year kwenye mwezi wa Saba na tukarudisha mawasiliano na akaibuka Maghetoni nakumbuka ilikuwa tarehe 30/07/2023 akastay home kwangu kama three days akaondoka then after 2 days akarudi tena ikawa ndo kamchezo yaani anakuja week anaondoka then anarudi mwisho tukaanza kuishi pamoja.
Mwezi wa 9 hivi akanambia hajaona siku zake anahisi ana Mimba maana alivyokuja First Time alikuwa kwenye siku za hatari lakini hawezi kushangilia maana alishakutana na hizo mbanga mara nyingi lakini mwisho wa siku bila bila so tuvute subira hadi kitumbo kitoke ndo tukapime tuthibitishe kitu ambacho baadae tulikifanya na ikaonekana kweli mjamzito na kwa uwezo wake MUNGU akajifungua tarehe 19/04/2024.
She was so Happy kufanikiwa kupata mtoto na tukakubaliana tufanye kuhalalisha tu kwa ndoa simple tu maana yeye alishaolewa mara 2 so hataki tena mbwembwe.Kwahiyo Ijumaa ya tarehe 10/5/2024 tulifunga ndoa.Lakini kabla ya kufunga ndoa hiyo,asubuhi ya siku hiyo ya harusi/Ndoa nilichukua simu yake nitumie kumpigia mshenga wangu ili kupanga ratiba vizuri ya shughuli ndo nilipokutana na jambo ambalo limefanya niombe USHAURI HUU....
Nilikuta SMS anachati na jamaa anaomba Hela ya Matumizi akimwambia jamaa kuwa mtoto hana Pampers na pia Kodi yake alipopanga Imeisha.Tena anamuita mume wake kabisa "TUNAOWAAMINI NDO WANAOTUUMIZA" Kiukweli niliumia sana maana hata nilipomuuliza alianza kwa kukana kuwa hizo SMS za zamani lakini nilipombana zaidi akakiri kwamba jamaa ni Ex wake na alikuwa anamdanganya tu na wala jamaa hakutuma hela na pia wameishablokiana.Kiufupi ndoa tumefunga Fresh lakini mie sina IMANI wala AMANI kabisa yaani nawaza mengi hadi nahisi kuchanganyikiwa so guys please naomba ushauri wenu.....
WENU KATIKA MTIHANI MZITO
Kiukweli hapa ndipo wengi huwa tunafeli. HURUMA. Baada ya huruma ni majuto. Na si kwenye mapenzi pekee bali kufanya maamuzi magumu kwa mustakabali wa maisha. Pole. Kaza moyoNilishindwa kuahirisha alinililia sana nisimdhalilishe mbele ya familia na ndugu zake
Hivi kwenye kikao chetu ulikuwa umesinzia, wakati wajumbe wanakubaliana kuwa USIMUOE MWANAMKE KWA KUMUONEA HURUMA ,Wew pimbi kweli yaanNilishindwa kuahirisha alinililia sana nisimdhalilishe mbele ya familia na ndugu zake
We changanyikiwa tu, maana hakuna namna.Kwema Wadau?
Naombeni ushauri wenu ndugu zangu,Nilikutana na Ex wangu ambaye aliniacha way back akaolewa but hakudumu ndoani alikaa 5 months only then after sometime akaolewa tena lakini hakudumu pia.Sababu ya ndoa zote kutodumu ilikuwa kutopata Mimba kiasi kwamba akasema hawezi kuolewa tena hadi abebe mimba,ajifungue ndio ataolewa.
Nilikutana nae Last Year kwenye mwezi wa Saba na tukarudisha mawasiliano na akaibuka Maghetoni nakumbuka ilikuwa tarehe 30/07/2023 akastay home kwangu kama three days akaondoka then after 2 days akarudi tena ikawa ndo kamchezo yaani anakuja week anaondoka then anarudi mwisho tukaanza kuishi pamoja.
Mwezi wa 9 hivi akanambia hajaona siku zake anahisi ana Mimba maana alivyokuja First Time alikuwa kwenye siku za hatari lakini hawezi kushangilia maana alishakutana na hizo mbanga mara nyingi lakini mwisho wa siku bila bila so tuvute subira hadi kitumbo kitoke ndo tukapime tuthibitishe kitu ambacho baadae tulikifanya na ikaonekana kweli mjamzito na kwa uwezo wake MUNGU akajifungua tarehe 19/04/2024.
She was so Happy kufanikiwa kupata mtoto na tukakubaliana tufanye kuhalalisha tu kwa ndoa simple tu maana yeye alishaolewa mara 2 so hataki tena mbwembwe.Kwahiyo Ijumaa ya tarehe 10/5/2024 tulifunga ndoa.Lakini kabla ya kufunga ndoa hiyo,asubuhi ya siku hiyo ya harusi/Ndoa nilichukua simu yake nitumie kumpigia mshenga wangu ili kupanga ratiba vizuri ya shughuli ndo nilipokutana na jambo ambalo limefanya niombe USHAURI HUU....
Nilikuta SMS anachati na jamaa anaomba Hela ya Matumizi akimwambia jamaa kuwa mtoto hana Pampers na pia Kodi yake alipopanga Imeisha.Tena anamuita mume wake kabisa "TUNAOWAAMINI NDO WANAOTUUMIZA" Kiukweli niliumia sana maana hata nilipomuuliza alianza kwa kukana kuwa hizo SMS za zamani lakini nilipombana zaidi akakiri kwamba jamaa ni Ex wake na alikuwa anamdanganya tu na wala jamaa hakutuma hela na pia wameishablokiana.Kiufupi ndoa tumefunga Fresh lakini mie sina IMANI wala AMANI kabisa yaani nawaza mengi hadi nahisi kuchanganyikiwa so guys please naomba ushauri wenu.....
WENU KATIKA MTIHANI MZITO
Achana nae kama imani ni 0%, huwezi ishi nae kwa vyovyote vile.kabisa najiona naelekea huko maana nilikuwa namuamini 100% lakini imani imebaki 0% najuta hata kwanini nilienda kwenye sms dah
NaamJipende mwenyewe , mwanamke mfanye kama ziada, tunza akiba yako kimya kimya
Utaishi kwa raha maisha marefu😀😀
Usijali.Maadam Ni ex wako.We tulia naye tu.Ndio mapenzi yalivyoKwema Wadau?
Naombeni ushauri wenu ndugu zangu,Nilikutana na Ex wangu ambaye aliniacha way back akaolewa but hakudumu ndoani alikaa 5 months only then after sometime akaolewa tena lakini hakudumu pia.Sababu ya ndoa zote kutodumu ilikuwa kutopata Mimba kiasi kwamba akasema hawezi kuolewa tena hadi abebe mimba,ajifungue ndio ataolewa.
Nilikutana nae Last Year kwenye mwezi wa Saba na tukarudisha mawasiliano na akaibuka Maghetoni nakumbuka ilikuwa tarehe 30/07/2023 akastay home kwangu kama three days akaondoka then after 2 days akarudi tena ikawa ndo kamchezo yaani anakuja week anaondoka then anarudi mwisho tukaanza kuishi pamoja.
Mwezi wa 9 hivi akanambia hajaona siku zake anahisi ana Mimba maana alivyokuja First Time alikuwa kwenye siku za hatari lakini hawezi kushangilia maana alishakutana na hizo mbanga mara nyingi lakini mwisho wa siku bila bila so tuvute subira hadi kitumbo kitoke ndo tukapime tuthibitishe kitu ambacho baadae tulikifanya na ikaonekana kweli mjamzito na kwa uwezo wake MUNGU akajifungua tarehe 19/04/2024.
She was so Happy kufanikiwa kupata mtoto na tukakubaliana tufanye kuhalalisha tu kwa ndoa simple tu maana yeye alishaolewa mara 2 so hataki tena mbwembwe.Kwahiyo Ijumaa ya tarehe 10/5/2024 tulifunga ndoa.Lakini kabla ya kufunga ndoa hiyo,asubuhi ya siku hiyo ya harusi/Ndoa nilichukua simu yake nitumie kumpigia mshenga wangu ili kupanga ratiba vizuri ya shughuli ndo nilipokutana na jambo ambalo limefanya niombe USHAURI HUU....
Nilikuta SMS anachati na jamaa anaomba Hela ya Matumizi akimwambia jamaa kuwa mtoto hana Pampers na pia Kodi yake alipopanga Imeisha.Tena anamuita mume wake kabisa "TUNAOWAAMINI NDO WANAOTUUMIZA" Kiukweli niliumia sana maana hata nilipomuuliza alianza kwa kukana kuwa hizo SMS za zamani lakini nilipombana zaidi akakiri kwamba jamaa ni Ex wake na alikuwa anamdanganya tu na wala jamaa hakutuma hela na pia wameishablokiana.Kiufupi ndoa tumefunga Fresh lakini mie sina IMANI wala AMANI kabisa yaani nawaza mengi hadi nahisi kuchanganyikiwa so guys please naomba ushauri wenu.....
WENU KATIKA MTIHANI MZITO
ChaiKwema Wadau?

The fact kuwa aliolewa mara mbili before hiyo ni redflag, ungetakiwa uende deep why aliachika sio kuamini maneno yake.Kwema Wadau?

Hilo jambo lipe muda, tena usimuulize tena, ila endelea kuangalia mwenendo wake, tumia akili na hekima, usitumie frustrations na tension. Be wise..Kwema Wadau?

Kitanda hakizai haramu mkuu mambo mengine siyo ya kufatilia kabisa embu ishi, furahia maisha while you can.nahisi ntachanganyikiwa kabisa maana kila nikiwaza nikiwazua sipati jibu sijui nifanyeje
Wanawake wanajua kuchochea maamuzi ya mwanaume kwa kutumia kilio au kutia huruma. Ukichotwa hapo utakuwa na maamuzi ya hasara na majuto mara kwa mara.Nilishindwa kuahirisha alinililia sana nisimdhalilishe mbele ya familia na ndugu zake
Wanaume tuna huruma sana na hiki ndicho kitakachoendelea kukutesa kwasababu hautamuamini tena. In case of any financial instability kwako ataanzisha mawasiliano na hao anaowaita mumez kimya kimya. Sorry for telling you this bitter truthNilishindwa kuahirisha alinililia sana nisimdhalilishe mbele ya familia na ndugu zake
Hizi ndio formula za mababu zetu,wanawake hawakuwa stress kwenye ndoa miaka hiyo,sasa sisi tunaojifanya kuishi nao kizungu ndio kila siku tunalilia kupigwa za utosi.Kuna mtu humu alishawahi kusema usimuonee mwanamke huruma....Jipende mwenyewe , mwanamke mfanye kama ziada, tunza akiba yako kimya kimya
Utaishi kwa raha maisha marefu😀😀
Ndio nini hiki unachomshauri?Kitanda hakizai haramu mkuu mambo mengine siyo ya kufatilia kabisa embu ishi, furahia maisha while you can.
We only live once mkuu hata ww baba yako uwenda angefatilia kwa mama yako kama ww ni mtoto wake wa kuzaa labda uwenda ungekua sio.
Ishi mkuu ishi duniani hapa tunapita tu.
Unaishi na mke wa watu.Kwema Wadau?