Nilifuma SMS za mapenzi kwenye simu ya mke siku yetu ya ndoa, bado nikamuoa lakini sasa nahisi kuchanganyikiwa sielewi nifanyeje?

Ehh!! Mkuu unastahili tuzo
 
Pointi tatu muhimu kabisa kwa timu kataa ndoa, unaenda kupata kitu inaitwa mfadhaiko, na ukiendekeza hiyo ndoa sasa hivi utasikia presha imepanda uanze kuacha kula aina mbalimbali za vyakula
😂😂😂😂😂Team kataa ndoa hampoi
 
As long as mmeshaoana then kwa kuanzia kabisa huyo ni wako.

Haya kwenye kwenye ombi la ushauri sasa:

1. Fanya mbanga u confirm kama mtoto ni wako ama lah, kama ni wako then jipige kifua; umevuka kihunzi cha kikubwa cha kwanza

2. Usidanganyike na ukamilifu wa uyaonayo, ndoa nyingi sana zinaendeshwa kwa msamaha na matumaini ya kesho; hakuna sehemu utaenda ukaipata amani yote uitarajiayo; amani na furaha ya kweli huwa inaanzia kwako kwa kujipenda, kujikumbuka, kutekeleza wajibu wako kwa familia na zaidi kwa kusamehe.

3. Just emagine usingekuta hizo SMS, hali ingekuwaje? Ungegundua kuna tatizo, kama amekiri kosa na amebadilika na kuwa obidient wife then samehe and move on

Life is too short to always start again

Move on
 
Kama bado uko naye,basi hakikisha unawasiliana na huyo jamaa aliyekuwa akichati naye. Ongea naye kiume na kiustaarabu ujue kwa nini anahudumia mtoto. Pia utajua mambo mengi yatakusaidia kufanya maamuzi.
 
Wadada wa morogoro wandamba hao
 
Deal done. one man down
 
Nilishindwa kuahirisha alinililia sana nisimdhalilishe mbele ya familia na ndugu zake
Ulifanya kosa kubwa sana kumhurumia wa dizaini sio wa kuhurumia. Jamaa yangu alikamata sms za kishenzi tena kwenye simu kitochi imefichwa kwenye gari alhamis ndoa jmosi kila kitu kishalipiwa jamaa alicancel na jmosi akenda na ndugu zake ukumbini wakanywa na kula kilichopo.
 
Us Usijipe mawazo usitese nafsi mwambie nataka kukuacha atasema yote,ila mwanamke.usimchukulie.serious Sana na has wakati huu,utapata stress na hutatoboa
 
Mkuu hawa viumbe ishi nao lakini usiwaamini wewe ishi na mwanamke ukijua anytime anakusaliti hata ukija kujua maumivu yake sio makali sana siku mbili tu unasahau. Ila ukimpa asilimia zote za kumuamini matokeo yake utatembea uchi barabarani.
Ishi nao lakini usiwaaamini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…