Nilifuma SMS za mapenzi kwenye simu ya mke siku yetu ya ndoa, bado nikamuoa lakini sasa nahisi kuchanganyikiwa sielewi nifanyeje?

Jipende mwenyewe , mwanamke mfanye kama ziada, tunza akiba yako kimya kimya
Utaishi kwa raha maisha marefu😀😀
 
Unazijua red flags za ndoa chafu

Kama huzijui hiyo ni mojawapo. Lakini uliamua kusamehe, endelea kusamehe na ufute kichwani. Vinginevyo achana nae haraka utachanganyikiwa.

Ila tu ONYO:
BADO HAUJAPATA MKE SAHIHI
 
We jamaa pole kwa kuoa malaya, uyo kifupi ni malaya kwa sababu ndoa ya kwanza aliachika kisa mimba hapo sidhani, ndoa ya pili alisema tena mimba hapati ndio sababu ya kuachika hivi mwanaume hata kama ana moyo wa ubuyu kukuacha kisa kushika mimba hapana siamini aisee uyo umalaya ndio sababu ya kuachwa mfano wewe siku tu ya ndoa umemfuma anachat ufala kwenye simu yake ushahidi tosha sana kuwa uyo kaachika sababu ya umalaya.
 
Nilishindwa kuahirisha alinililia sana nisimdhalilishe mbele ya familia na ndugu zake
Kiukweli hapa ndipo wengi huwa tunafeli. HURUMA. Baada ya huruma ni majuto. Na si kwenye mapenzi pekee bali kufanya maamuzi magumu kwa mustakabali wa maisha. Pole. Kaza moyo
 
Nilishindwa kuahirisha alinililia sana nisimdhalilishe mbele ya familia na ndugu zake
Hivi kwenye kikao chetu ulikuwa umesinzia, wakati wajumbe wanakubaliana kuwa USIMUOE MWANAMKE KWA KUMUONEA HURUMA ,Wew pimbi kweli yaan
 
We changanyikiwa tu, maana hakuna namna.
 
kabisa najiona naelekea huko maana nilikuwa namuamini 100% lakini imani imebaki 0% najuta hata kwanini nilienda kwenye sms dah
Achana nae kama imani ni 0%, huwezi ishi nae kwa vyovyote vile.
 
Usijali.Maadam Ni ex wako.We tulia naye tu.Ndio mapenzi yalivyo
 
Chai
 
The fact kuwa aliolewa mara mbili before hiyo ni redflag, ungetakiwa uende deep why aliachika sio kuamini maneno yake.

And since umeona hizo message ulichopoteza ni “TRUST” and from that ni road to hell

Mueleze how you feel else afungashe mizigo pole san brother
 
Hilo jambo lipe muda, tena usimuulize tena, ila endelea kuangalia mwenendo wake, tumia akili na hekima, usitumie frustrations na tension. Be wise..
 
nahisi ntachanganyikiwa kabisa maana kila nikiwaza nikiwazua sipati jibu sijui nifanyeje
Kitanda hakizai haramu mkuu mambo mengine siyo ya kufatilia kabisa embu ishi, furahia maisha while you can.

We only live once mkuu hata ww baba yako uwenda angefatilia kwa mama yako kama ww ni mtoto wake wa kuzaa labda uwenda ungekua sio.

Ishi mkuu ishi duniani hapa tunapita tu.
 
Nilishindwa kuahirisha alinililia sana nisimdhalilishe mbele ya familia na ndugu zake
Wanawake wanajua kuchochea maamuzi ya mwanaume kwa kutumia kilio au kutia huruma. Ukichotwa hapo utakuwa na maamuzi ya hasara na majuto mara kwa mara.

Huyo unaweza kukuta hakuachwa kwa ajili ya mimba, kakupiga za uso. Hakun mwanaume atae muacha mwanamke kwa just miezi mitano tu ya ndoa aweke hitimisho, kwanza wanaume wengine sense ya kutaka mtoto huvuka mwaka, wanataka kwanza wajiachie na mke wake.

Yawezekana umalaya na kuto tulia ndicho kilicho mfukuzisha kwa ma EX zake. Brother,ukiona mwanamke ameachika mara mbili usiamini story yake yeyote bila kuchunguza, hao wanaume wengine hawakuwa vichaa Kuna sababu ya maana sana ya kumpiga chini.

Tafuta msaada wa kisaikolojia ktk jinsi ya kulivuka hilo, kuna hatari kwako, kwaoe au mtoto kulingana na yanayo kuzunguka yanaweza kuzaaa hasira.

Brother usijibane ,wala usijitese we leave once, ukiona jambo zito hilo na mtendaji unaishi naye, na umesha pata trust issues, ya mkini baada ya kugundua akawa Makini zaidi usigundue kitu.

Piga chiniii, kwa maana hata amekudhulum haki yako ya furaha na amani, amekudhulum kufurahia harusi yako kisa anasem hataki mambo mengi cz ni ndoa yake ya tatu, yamkini hakutaka harusi kubwa ili baba wa mtoto asije kumuona ame trend na kusanuka, PIGA CHINI UTAHESABU BARAKA ZAKO BAADAE.
 
Nilishindwa kuahirisha alinililia sana nisimdhalilishe mbele ya familia na ndugu zake
Wanaume tuna huruma sana na hiki ndicho kitakachoendelea kukutesa kwasababu hautamuamini tena. In case of any financial instability kwako ataanzisha mawasiliano na hao anaowaita mumez kimya kimya. Sorry for telling you this bitter truth
 
Jipende mwenyewe , mwanamke mfanye kama ziada, tunza akiba yako kimya kimya
Utaishi kwa raha maisha marefu😀😀
Hizi ndio formula za mababu zetu,wanawake hawakuwa stress kwenye ndoa miaka hiyo,sasa sisi tunaojifanya kuishi nao kizungu ndio kila siku tunalilia kupigwa za utosi.Kuna mtu humu alishawahi kusema usimuonee mwanamke huruma....
 
Ndio nini hiki unachomshauri?

Mbona kuna watu mnapenda kutoa mifano ya kipuuzi kujustify tabia za kishenzi za wanawake?
 
Unaishi na mke wa watu.
Jihadhari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…