Mzibua Vyoo
Senior Member
- Nov 8, 2023
- 108
- 241
Kutokujua bei elekezi ya bidhaa unayotaka kutapeliwa kunakucost. Mfano bei elekezi ya mchele ni sh. 1,800 kwa kilo. Wewe kwasababu hujui bei, ukiona tangazo mtandaoni la bei chee la kitapeli unaingia kichwakichwa.
Next time kama unanunua kitu online, nunua kwa muuzaji aliye mkoani kwako. Muambie muonane uso kwa uso akupe huduma, umpe chake kila mtu apite hivi
Next time kama unanunua kitu online, nunua kwa muuzaji aliye mkoani kwako. Muambie muonane uso kwa uso akupe huduma, umpe chake kila mtu apite hivi