The BornAgain
JF-Expert Member
- Jun 23, 2024
- 428
- 582
Pole, nadhani ni kuongeza umakini, wasiwasi, kutopenda sana bei nafuu...anyway siku ya kutapeliwa huja jama usingizi.. ile unazinduka kwishney...kutapeliwa yani huwa ni tukio la kizembe baada ya kutapeliwa