Mzibua Vyoo
Senior Member
- Nov 8, 2023
- 108
- 241
Funga kwanza ukurasa wa tamaa na kupenda mteremko.Nawasalimu kupitia jina kuu lipitalo majina yote.
Direct, Jana katika pita pita zangu Instagram nikakutana na page jamaa anauza vifurushi bei chee sana, moyoni nikasema hapa hapa nitaokoa gharama za pesa kununua bando la internet.
Kumbe sikujua nipo kwenye mdomo wa mamba hatimae Nilijipeleka mzima mzima nikapigwa, siumii Kwa kiasi cha pesa nilichotapeliwa lakini naumia Kwa nini sikusikiliza sauti iliyokua inaniambia chunguza Kwa makini usije ukatapeliwa kama ulivyotapeliwa milioni 1.4 mwaka 2014.
Baada ya kutapeliwa mwaka tajwa hapo juu, nilijiapiza siji tapeliwa tena abadani, nilifanikiwa sikuwahi tapeliwa zaidi sana nimekua nikiwatonya watu kibao waliokua wemeshaa wekwa kwenye target ya kutapeliwa.
Ila sasa yamenikuta, kuwa makini aisee vihuni bado vipo sana.!!
Muosha huoshwa😆Nawasalimu kupitia jina kuu lipitalo majina yote.

Yaah mtaji mkubwa wa tapeli ni tamaa ya mtapeliwaunachotakiwa ni kuepuka na kuacha kabisa tamaa,
bure ni ghali gentleman,
Zidisha juhudi katika kufanya kazi kwani mtaji ulionao ni nguvu zako mwenywe 🐒
Hahahah pole sana mi waliniosha buku 5 nilikuwa nataka nijaribu GB9 kwanza. Baada ya kutuma hela akaanza kuniongezea vipengele eti inatakiwa ifike 13,000 maana kuna service charge kwahio niongeze buku 8 ila kwa kuwa mi mtoto wa mjini nikawa nishaelewa tu nimeingizwa kwenye mfumo🤣 biashara ikaishia hapo.Nawasalimu kupitia jina kuu lipitalo majina yote.
Direct, Jana katika pita pita zangu Instagram nikakutana na page jamaa anauza vifurushi bei chee sana, moyoni nikasema hapa hapa nitaokoa gharama za pesa kununua bando la internet.
Kumbe sikujua nipo kwenye mdomo wa mamba hatimae Nilijipeleka mzima mzima nikapigwa, siumii Kwa kiasi cha pesa nilichotapeliwa lakini naumia Kwa nini sikusikiliza sauti iliyokua inaniambia chunguza Kwa makini usije ukatapeliwa kama ulivyotapeliwa milioni 1.4 mwaka 2014.
Baada ya kutapeliwa mwaka tajwa hapo juu, nilijiapiza siji tapeliwa tena abadani, nilifanikiwa sikuwahi tapeliwa zaidi sana nimekua nikiwatonya watu kibao waliokua wemeshaa wekwa kwenye target ya kutapeliwa.
Ila sasa yamenikuta, kuwa makini aisee vihuni bado vipo sana.!!
NakushauriNawasalimu kupitia jina kuu lipitalo majina yote.

Uyu jamaa ata Mimi alinitapeli daaah iliniuma sanaa😭😭.........nikaishia kumlima mkwala naenda kumfungulia KESI ya cyber CRIME 😂😂View attachment 3136799View attachment 3136800View attachment 3136801View attachment 3136801View attachment 3136803never ever, siwezi tapeliwa tena. Mbingu nitairithi Kwa neema ya Mungu.
,
We bado mshamba na Hiyo abortion Ndio itakufanya utapeliwe tena😂😂We acha tu, nilipitia comment za wadau pale chini nikaona wengi wanashukuru kwamba wametumiwa bando lkn kumbe inaonesha ni abortion tu maana katika post zake 4, comments utaona ni zilezile.
We bado mshamba mwanangu huepuki kutapeliwa.Haiji tokea tena abadani, hiyo ndo mwisho sahizi zamu yako.
Kuna characters ambazo ni very common kwa matapeli hasa wa kibongo.View attachment 3136799View attachment 3136800View attachment 3136801View attachment 3136801View attachment 3136803never ever, siwezi tapeliwa tena. Mbingu nitairithi Kwa neema ya Mungu.
,
CCM inatutapeli hadi sasaNawasalimu kupitia jina kuu lipitalo majina yote.
Direct, Jana katika pita pita zangu Instagram nikakutana na page jamaa anauza vifurushi bei chee sana, moyoni nikasema hapa hapa nitaokoa gharama za pesa kununua bando la internet.
Kumbe sikujua nipo kwenye mdomo wa mamba hatimae Nilijipeleka mzima mzima nikapigwa, siumii Kwa kiasi cha pesa nilichotapeliwa lakini naumia Kwa nini sikusikiliza sauti iliyokua inaniambia chunguza Kwa makini usije ukatapeliwa kama ulivyotapeliwa milioni 1.4 mwaka 2014.
Baada ya kutapeliwa mwaka tajwa hapo juu, nilijiapiza siji tapeliwa tena abadani, nilifanikiwa sikuwahi tapeliwa zaidi sana nimekua nikiwatonya watu kibao waliokua wemeshaa wekwa kwenye target ya kutapeliwa.
Ila sasa yamenikuta, kuwa makini aisee vihuni bado vipo sana.!!
Sifa kuu za mtu anayetapeliwa ni kuwa na tamaa na kutotumia common sense & logic.Haiji tokea tena abadani, hiyo ndo mwisho sahizi zamu yako.
Aliona ametapeli hela njiwa mno !sawa,Hahahah pole sana mi waliniosha buku 5 nilikuwa nataka nijaribu GB9 kwanza. Baada ya kutuma hela akaanza kuniongezea vipengele eti inatakiwa ifike 13,000 maana kuna service charge kwahio niongeze buku 8 ila kwa kuwa mi mtoto wa mjini nikawa nishaelewa tu nimeingizwa kwenye mfumo🤣 biashara ikaishia hapo.
Sawa,Sifa kuu za mtu anayetapeliwa ni kuwa na tamaa na kutotumia common sense & logic.
Mtu mwenye ufala, ambaye bidhaa kwa bei halali inajulikana inauzwa 500,000 ila yeye anaona tangazo kwamba inauzwa 200,000 na akatamani aokoe 300,000 kwa kununua bei nafuu huku akijisifu kwamba anajua machimbo wale wengine wote wanauza bei ghali.
Huyo ndio fala anayekuja kutapeliwa maana yupo group lilelile la kutumaa hela kununua TV na simu kutoka Chakechake na Wete, Samsung smart TV 55" ya laki tatu.
Wewe kwa vile bado una tamaa nakuhakikisha utanyooshwa sana tu.
Kuna characters ambazo ni very common kwa matapeli hasa wa kibongo.
1.Camouflaging
2.Coercion
Tukianza na hii ya Camouflaging:
Hapo tapeli huanza na kutaka kujivika wasifu wa uaminifu ili tu uone kwamba waliowahi kufanya naye biashara hawakujutia. Ni common kusikia kauli kama "tunatuma kwa uaminifu mkubwa",,, Wengine huenda mbali na kutafta watu wa kutoa ushuhuda kabisa kwamba wamefurahisa sana huduma. Jamaa ni mkombozi wao. Hii ni kama icing sugar kwenye cake ambapo mlengwa unajengewa mazingira ya ku trust the process.
Next step huwa ni Coercion
Katika hatua hii kama ukiwa smart ni rahisi kumstukia tapeli maana ukionesha hutoi ushirikiano atazidi kuwa bitter kwako. Wengi hutumia lugha ya ukali na vitisho kwamba ukikataa kukubaliana na offer anayokupa humkomoi yeye bali wewe ndiye unafeli, anakuweka kwenye tension kubwa sana. Hapa unashurutishwa ili utoe pesa haraka ili kusudi jambo likamilishwe or else unaonekana hauko serious. Unaweza kuambiwa hata ukope mahali ili jambo likamilike kwa haraka. Hapa huwa Tapeli hatakagi kupoteza muda, ata strike faster na kuchukua hela yako na by the moment unarudi kwenye utulivu na kuanza kutafakari vizuri unajikuta ulishafanya wrong decision na uko kwenye majuto.
Hizo stage mbili matapeli wote lazima wakupitishe humo. Antidote ya matapeli ni kuwapa condition ngumu tu. Either akamilishe part yake ndio umlipe au kama hawezi aache. Hakuna mali
Ushamba ushaa nitoka sahizi, ulibakia kidogooo Leo umenitoka wote siji tapeliwa tenaWe bado mshamba mwanangu huepuki kutapeliwa.

Ushamba ushaa nitoka sahizi, ulibakia kidogooo Leo umenitoka wote siji tapeliwa.We bado mshamba mwanangu huepuki kutapeliwa.
NimeKusoma vilivyo, wakola muno.!!Kuna characters ambazo ni very common kwa matapeli hasa wa kibongo.
1.Camouflaging
2.Coercion
Tukianza na hii ya Camouflaging:
Hapo tapeli huanza na kutaka kujivika wasifu wa uaminifu ili tu uone kwamba waliowahi kufanya naye biashara hawakujutia. Ni common kusikia kauli kama "tunatuma kwa uaminifu mkubwa",,, Wengine huenda mbali na kutafta watu wa kutoa ushuhuda kabisa kwamba wamefurahisa sana huduma. Jamaa ni mkombozi wao. Hii ni kama icing sugar kwenye cake ambapo mlengwa unajengewa mazingira ya ku trust the process.
Next step huwa ni Coercion
Katika hatua hii kama ukiwa smart ni rahisi kumstukia tapeli maana ukionesha hutoi ushirikiano atazidi kuwa bitter kwako. Wengi hutumia lugha ya ukali na vitisho kwamba ukikataa kukubaliana na offer anayokupa humkomoi yeye bali wewe ndiye unafeli, anakuweka kwenye tension kubwa sana. Hapa unashurutishwa ili utoe pesa haraka ili kusudi jambo likamilishwe or else unaonekana hauko serious. Unaweza kuambiwa hata ukope mahali ili jambo likamilike kwa haraka. Hapa huwa Tapeli hatakagi kupoteza muda, ata strike faster na kuchukua hela yako na by the moment unarudi kwenye utulivu na kuanza kutafakari vizuri unajikuta ulishafanya wrong decision na uko kwenye majuto.
Hizo stage mbili matapeli wote lazima wakupitishe humo. Antidote ya matapeli ni kuwapa condition ngumu tu. Either akamilishe part yake ndio umlipe au kama hawezi aache. Hakuna malipo bila kazi.