The BornAgain
JF-Expert Member
- Jun 23, 2024
- 428
- 582
Dogo wa 2000 huyo atawajulia wapi wa kina Banza Stone?Muache aendelee na kina miso misondo wanapenda sana vitongaunachotakiwa ni kuepuka na kuacha kabisa tamaa,
bure ni ghali gentleman,
Zidisha juhudi katika kufanya kazi kwani mtaji ulionao ni nguvu zako mwenywe π
lakini amekua muungwana sana kuwasanua wenzake na jamii kwa ujumla kwamba upo upigwaji wa wazi wazi town kupitia mitandao.Dogo wa 2000 huyo atawajulia wapi wa kina Banza Stone?Muache aendelee na kina miso misondo wanapenda sana vitonga
Ukichunguza vizuri mara zote unapotapeliwa huwa sababu ni TAMAA na KUPENDA VITU VYA NAFUU.Kama hautaweza kudhibiti haya utapigwa tena.Haiji tokea tena abadani, hiyo ndo mwisho sahizi zamu yako.
Yote Kheri Tulakini amekua muungwana sana kuwasanua wenzake na jamii kwa ujumla kwamba upo upigwaji wa wazi wazi town kupitia mitandao.
nadhani ametekeleza wajibu wake vyema sana. Ni wajibu wa alisoma kuchukua hatua, vinginevyo atamkumbuka huyo muungwana π