Simu yako ilikua hijacked na mkeo hapo kuna app tracker ali install ambayo kazi ake ina backup automatically convos zote zako na kuzitunza au pia inaziupload na kuzituma moja kwa moja kwa target (mkeo) sasa hapo alichokifanya ni kua kama ulimpa hiyo simu yako mkeo wakati wa mabishano basi ali restore convos hizo zikarudi kwenye Message app yako kama kawa ndo akakuumbua..
Pia anaweza akawa hajaweka app ya kukutrack ila akatumia mbinu simple tu hii hapa [emoji117] Simu za kisasa hizi smartphones unaweza kuset either kila picha unayopiga iji backup automatically, auto recording, auto backup sms, call history & settings, wifi passwords n.k! Hivyo sasa yaweza kua alisha set auto backup ya mawasiliano yako yote na ww hujui na hujawahi kagua afu ww umejidanganya kufuta kumbe ye kaja ku restore jumbe zote hapo huwa zinarudi bila hiyana ya kukosea hata herufi 1, muda wala tarehe hapo unaumbuka mapema tu...