Nilifuta meseji za mchepuko ila mke wangu kanionesha zote kwenye simu yangu

Nilifuta meseji za mchepuko ila mke wangu kanionesha zote kwenye simu yangu

Kuna app ndio zinafanya hivyo ...Sasa wewe mwambie hiyo simu ulinunua used na huzitambui hizo meseji

Je akionesha meseji mmechati mwisho jana ? [emoji23][emoji23][emoji23], ama kwelu hizi mbinu ni za kivita
 
Yani hata usipate shida wew itakuwa mgeni wa simu.. Kuna kiti kinaitwa RECYCLE BIN ukifuta msg zinaenda huko so lazima ukazifute kule piaa usipozifutq anaweza kuzirestore na zinarudi kama zilivyoo[emoji3][emoji3][emoji3][emoji846][emoji846] Hii setting kila nikiitoa baada ya silku mbili nakuta shemeji yenu kairudisha tenaa utadhani simu yakeee[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Na mimi naitoaa yani kila siku mpaka atachokaaa
Nimecheka kwa saut mpaka basii yaani inaonekana ambavo na ww hujatulia sa kwann uiondoe wakat huna mambo mengi
 
Hivi simu kumbe ina recycle bin ndio mmenifumbua macho. Naipataje?

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Inabidi rikiboy mzee wa kimasihara aje na shule ya namna ya kutokamatwa ukiwa umeoa.

Mkuu kila kitu kabla ya kukifanya jaribu kupata darasa kidogo. Kwa ajili ya amani ya ndoa yako, watoto na kazini kwako kwa ujumla.

Tumia kitochi.
 
Ilinikuta hii mkuu ila nikafanya mtego usku sikulala ila nilikua nakoloma kama mtu aliyechoka sana. Mida ya saa8 usku hv nikaona mtu kaamka akachukua sim akaanza kuangalia kumbe anaijua pswd yangu.

Nilimpa kofi moja la nguvu sidhan kama atarudia tena[emoji28][emoji28][emoji28]
Atasema anaonewa. Huwa hawaelewi kuwa tunaishi nao kwa akili
 
Mkuu samahan naomba kuelekezwa namna ya kujua mautundu haya mimi na mpenz wangu tuna tumia account moja ya email hivo huwa namungalia aliko na akiwa amewasha data huwa namuona alipo kwa mda huo ila anapokuwa amezima data nikitaka kuona kila alipopita naingia wapi wakuu.. kama kuna mtu anaweza nipa haya maujanja naomba msaada natumia find my device
Acha hyo tabia mara moja kama ni mzee wa service road. Mfungulie email yake
Email haihitaji Nida card wala barua ya serikali ya mtaa
 
Kuna app ndio zinafanya hivyo ...Sasa wewe mwambie hiyo simu ulinunua used na huzitambui hizo meseji

Hakuna cha app wala nini. Hizi simu za android ukidelete chochote (picha, video au sms) vinaenda kwenye recycle bin. Ni kama pc tuu. Mtu mjanja akizama kwenye recycle bin anakuta sms zote na picha ulizofuta. Mimi nikidelete kwenye inbox nazifuata kule kwenye bin nafanya ku empty recycle bin.
Hayo mambo ya app japo ni kweli ni level nyingine.
 
Back
Top Bottom