Nilifuta meseji za mchepuko ila mke wangu kanionesha zote kwenye simu yangu

Nilifuta meseji za mchepuko ila mke wangu kanionesha zote kwenye simu yangu

Mwambie tu kuwa simu nilinunua used ...hiyo namba ya simu labda inachukua namba inayo tumika Sasa ...! Zaidi ya hapo sijui chochote kuhusu hayo mamesi Kama ndoa umeichoka sema mapema sio tunapotezeana muda [emoji1][emoji1][emoji1] ukimwambia hivo usiendelee na hizo habari ikiwezekana ondoka
Nakuelewa saana mkuu
 
Ilinikuta hii mkuu ila nikafanya mtego usku sikulala ila nilikua nakoloma kama mtu aliyechoka sana. Mida ya saa8 usku hv nikaona mtu kaamka akachukua sim akaanza kuangalia kumbe anaijua pswd yangu.

Nilimpa kofi moja la nguvu sidhan kama atarudia tena[emoji28][emoji28][emoji28]
Mmhh!daahh
 
Unakubaliji kizembe hvyo.. . mwenzako hadi picha alinipiga na mchepuko tunaenda guest....

Ila nilikataa kata kata... Nikamwambia duniani wa 2 wa 2....
[emoji16][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji3][emoji3]kaaahh
 
Kuna app ndio zinafanya hivyo ...Sasa wewe mwambie hiyo simu ulinunua used na huzitambui hizo meseji
Shida haieleweki akati anainunua simu alisemaje kwamkewe Mana kipindi hicho hakua namisala kudanganya hakuweza
 
Yani hata usipate shida wew itakuwa mgeni wa simu.. Kuna kiti kinaitwa RECYCLE BIN ukifuta msg zinaenda huko so lazima ukazifute kule piaa usipozifutq anaweza kuzirestore na zinarudi kama zilivyoo[emoji3][emoji3][emoji3][emoji846][emoji846] Hii setting kila nikiitoa baada ya silku mbili nakuta shemeji yenu kairudisha tenaa utadhani simu yakeee[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Na mimi naitoaa yani kila siku mpaka atachokaaa
 
Kazikuta kwenye recycle bin hizo wala ajatumia akili kubwa sana smartphone zina sehemu inaitwa recycle bin ukifuta kitu chochote ndani ya siku 30 kinabakia kwenye recycle bin ndio kinafutika moja kwa moja unachotakiwa kufanya ukiwa unafuta kitu nenda kafute na kwenye recycle bin
Ndio alichokifanyaaa[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Hapo mchepuko na wife lao moja. Mchepuko kamforwadia
 
Wapendwa leo nimekutana na changamoto wife kanionyesha sms zote jinsi tulivyokuwa tunachati na mchepuko.

Kilichonishangaza ndo hicho make sms zote tulizochat nilidelete kwahiyo nimeenda home nikijiamini kuwa simu ni safi hakuna kitu chochote nilichokutana nacho sasa majanga.

Ebu mwenye kujua hiyo sayansi msaada
Nimetafakari sana huu ujumbe wako, nimekuja na wazo fulani amazing.

1. Wewe unatumia mtandao wa kampuni gani?

2. Kuna mtu kwenye hiyo provident company anamla mkeo kihasara kwa collateral ya kumpatia footages za mawasiliano yako

3. Chukua hatua shirikisha TCRA kwenye hili jambo utaujua ukweli

4. Ukigundua unadukuliwa kutoka na staff wa service provider wako, usiweke huruma ishtaki kampuni ya simu ikulipe mabilion

5. Kwenye mgao usinisahau mbeba maono[emoji56][emoji56]
 
Back
Top Bottom