FineForever
JF-Expert Member
- Apr 12, 2017
- 1,777
- 2,356
Mzee baba kama Bado unawasiliana na michepuko kwa kutumia Simu janja acha mara Moja. Kuna application zinazo nasa na kutunza Kila kitu kinachofanyika juu ya kiio cha simu (screen). Kuna siku utaonyeshwa missing call, dialled calls, received calls, picha, ujumbe wa sauti (voice note) na meseji za kawaida kama ulizofumwa nazoWapendwa leo nimekutana na changamoto wife kanionyesha sms zote jinsi tulivyokuwa tunachati na mchepuko.
Kilichonishangaza ndo hicho make sms zote tulizochat nilidelete kwahiyo nimeenda home nikijiamini kuwa simu ni safi hakuna kitu chochote nilichokutana nacho sasa majanga.
Ebu mwenye kujua hiyo sayansi msaada