Amehlo
JF-Expert Member
- May 8, 2019
- 10,104
- 29,178
[emoji23][emoji23][emoji23]ila binadamu tunajipaga majukumu magumu ambayo hata sio ya lazima ...Acha ninyamaze tu nisije kufokewa bure.
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23]ila binadamu tunajipaga majukumu magumu ambayo hata sio ya lazima ...Acha ninyamaze tu nisije kufokewa bure.
Labda univizie ni kitoka tu online, lakini kila baada ya muda, na delete data na history zote, simu inakuwa mpya mpyaChochote unachokifanya kwenye simu kinabaki humo kwa faida ya baadae kama litatokea la kutokea
Hata mienendo yako kama una google map itaonyesha ulipita wapi
Wapelelezi wanapata habari zako kwa urahisi sana na huyo ni mmoja wapo [emoji23][emoji23]
Naam, na hawa Incognito huwa wanaficha siri zetu nyingi sana aisee na siku wakiamua kutufichua wengi sana tutafichuka[emoji23][emoji23][emoji23]
Potelea mbaliUnachokitafuta utakipata tu.
Ni viashiria vya mental disorder.Potelea mbali
ipo sehemu gani recycle binKazikuta kwenye recycle bin hizo wala ajatumia akili kubwa sana smartphone zina sehemu inaitwa recycle bin ukifuta kitu chochote ndani ya siku 30 kinabakia kwenye recycle bin ndio kinafutika moja kwa moja unachotakiwa kufanya ukiwa unafuta kitu nenda kafute na kwenye recycle bin
Najua hata kutengeneza hizo payloads naweza sema sipendi kufanyia hiyo michezo watu, hata mwanamke siwezi thubutu kumdukua na sijawahigi ila nikiamua hata siumizi kichwa nakua nshamiliki simu yake remotely..Wewe unaongea tu, wenzio daily tu akula hela za hawa wadada wakitaka wapate mawasialiano yenu kupitia simu zenu nasi tunacheza na trojan malware bila ya muhusika kujua
Hii setting inasetiwaje Mkuu?Simu yako ilikua hijacked na mkeo hapo kuna app tracker ali install ambayo kazi ake ina backup automatically convos zote zako na kuzitunza au pia inaziupload na kuzituma moja kwa moja kwa target (mkeo) sasa hapo alichokifanya ni kua kama ulimpa hiyo simu yako mkeo wakati wa mabishano basi ali restore convos hizo zikarudi kwenye Message app yako kama kawa ndo akakuumbua..
Pia anaweza akawa hajaweka app ya kukutrack ila akatumia mbinu simple tu hii hapa [emoji117] Simu za kisasa hizi smartphones unaweza kuset either kila picha unayopiga iji backup automatically, auto recording, auto backup sms, call history & settings, wifi passwords n.k! Hivyo sasa yaweza kua alisha set auto backup ya mawasiliano yako yote na ww hujui na hujawahi kagua afu ww umejidanganya kufuta kumbe ye kaja ku restore jumbe zote hapo huwa zinarudi bila hiyana ya kukosea hata herufi 1, muda wala tarehe hapo unaumbuka mapema tu...
Inawezekana mzee,sema kwako ndo haiwezekan?Hapa nilipo nasikiliza ngoma ya "it wasn't me" ya Shaggy, yaani hivi ndivyo inapaswa iwe, hakuna kukubali hata uwe caught red-handed, mwanaume utakosaje sababu?
Kwanza tangu Dunia hii iwepo haiwezekani kamwe Mwanaume kuwa na mwanamke moja, NEVER.
Mkuu samahan naomba kuelekezwa namna ya kujua mautundu haya mimi na mpenz wangu tuna tumia account moja ya email hivo huwa namungalia aliko na akiwa amewasha data huwa namuona alipo kwa mda huo ila anapokuwa amezima data nikitaka kuona kila alipopita naingia wapi wakuu.. kama kuna mtu anaweza nipa haya maujanja naomba msaada natumia find my deviceChochote unachokifanya kwenye simu kinabaki humo kwa faida ya baadae kama litatokea la kutokea
Hata mienendo yako kama una google map itaonyesha ulipita wapi
Wapelelezi wanapata habari zako kwa urahisi sana na huyo ni mmoja wapo [emoji23][emoji23]
Hii sehemu naipataje mkuu kwangu sioni natumia infinix na Samsung A12 Hio picha hapo ni kwenye app ya smsKazikuta kwenye recycle bin hizo wala ajatumia akili kubwa sana smartphone zina sehemu inaitwa recycle bin ukifuta kitu chochote ndani ya siku 30 kinabakia kwenye recycle bin ndio kinafutika moja kwa moja unachotakiwa kufanya ukiwa unafuta kitu nenda kafute na kwenye recycle bin
Samsung A12 hii sehemu naipata wapi wakuu
Qumamake walahi wajinga ndo waliwao [emoji848]Wewe unaongea tu, wenzio daily tu akula hela za hawa wadada wakitaka wapate mawasialiano yenu kupitia simu zenu nasi tunacheza na trojan malware bila ya muhusika kujua
😂😂😂😂😂Ila wanaume bwana,Kuna kipindi babe wangu alipata kazi kwanza,nikawa nenda nakurudi,Safari ingine naenda nafanya usafi nikakutana na bikini ya like sio yangu,muuliza niling'ang'aniwa Ile kitu Ni yangu niliicha Mara ya mwisho nilivyooenda,jamani kila nikikaza jamaa kakazaaa anasema Ni ya yako babe itakuwa umeisahahu....nilishangaa Sana mtu unawezaje kusahau chupi yako uliyoicha mwezi mmoja tu iliyopita hapo ndio nilikuwa sijui!Kuna app ndio zinafanya hivyo ...Sasa wewe mwambie hiyo simu ulinunua used na huzitambui hizo meseji
Mkuu samahan naomba kuelekezwa namna ya kujua mautundu haya mimi na mpenz wangu tuna tumia account moja ya email hivo huwa namungalia aliko na akiwa amewasha data huwa namuona alipo kwa mda huo ila anapokuwa amezima data nikitaka kuona kila alipopita naingia wapi wakuu.. kama kuna mtu anaweza nipa haya maujanja naomba msaada natumia find my device
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ila wanaume bwana,Kuna kipindi babe wangu alipata kazi kwanza,nikawa nenda nakurudi,Safari ingine naenda nafanya usafi nikakutana na bikini ya like sio yangu,muuliza niling'ang'aniwa Ile kitu Ni yangu niliicha Mara ya mwisho nilivyooenda,jamani kila nikikaza jamaa kakazaaa anasema Ni ya yako babe itakuwa umeisahahu....nilishangaa Sana mtu unawezaje kusahau chupi yako uliyoicha mwezi mmoja tu iliyopita hapo ndio nilikuwa sijui!