Nilifuta meseji za mchepuko ila mke wangu kanionesha zote kwenye simu yangu

Nilifuta meseji za mchepuko ila mke wangu kanionesha zote kwenye simu yangu

Mimi mwanamke hawezi kunidaka kwenye simu hata kidogo wala kwa bahati mbaya, uzembe wangu wala nini hata akiwa analala nayo make simu kwangu ni kama..... basi nisiseme sana labda aje anifume hukohuko mitaani kama akipata fununu za walimwengu..
 
SMS backup and restore app iyo hhah aisee inaitwa titpotatii tutumie viswaswadu jameni
 
Mpaka namba ya simu used?
Mwambie tu kuwa simu nilinunua used ...hiyo namba ya simu labda inachukua namba inayo tumika Sasa ...! Zaidi ya hapo sijui chochote kuhusu hayo mamesi Kama ndoa umeichoka sema mapema sio tunapotezeana muda [emoji1][emoji1][emoji1] ukimwambia hivo usiendelee na hizo habari ikiwezekana ondoka
 
Wapendwa leo nimekutana na changamoto wife kanionyesha sms zote jinsi tulivyokuwa tunachati na mchepuko.

Kilichonishangaza ndo hicho make sms zote tulizochat nilidelete kwahiyo nimeenda home nikijiamini kuwa simu ni safi hakuna kitu chochote nilichokutana nacho sasa majanga.

Ebu mwenye kujua hiyo sayansi msaada
8A7F5E0D-6763-4B8B-BACB-72474453CD25.jpeg

Mwambie IT WASN'T ME!!
Kanuni: MAWASILIANO NA MICHEPUKO TUMIA SIMU AMBAYOBSIO SMARTPHONE, tumia kitochi...
 
Wapendwa leo nimekutana na changamoto wife kanionyesha sms zote jinsi tulivyokuwa tunachati na mchepuko.

Kilichonishangaza ndo hicho make sms zote tulizochat nilidelete kwahiyo nimeenda home nikijiamini kuwa simu ni safi hakuna kitu chochote nilichokutana nacho sasa majanga.

Ebu mwenye kujua hiyo sayansi msaada
Kuna recicybin mzee unafuta zinabaki mahala mpaka ufute na huko

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wapendwa leo nimekutana na changamoto wife kanionyesha sms zote jinsi tulivyokuwa tunachati na mchepuko.

Kilichonishangaza ndo hicho make sms zote tulizochat nilidelete kwahiyo nimeenda home nikijiamini kuwa simu ni safi hakuna kitu chochote nilichokutana nacho sasa majanga.

Ebu mwenye kujua hiyo sayansi msaada

Mbona unakuwa hujiamini kijana...

Meseji isiyo kwenye simu yako sio ya kwako, sasa wewe unaanzaje kuweweseka?
 
Kuna app ndio zinafanya hivyo ...Sasa wewe mwambie hiyo simu ulinunua used na huzitambui hizo meseji
[emoji3][emoji16][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]looh!uongo gani huo sasa!
 
Back
Top Bottom