Nilihukumiwa kwa kumpa mimba mwanafunzi ila nimeumia kwa hiki kilichotokea

Bado una kosa ulifanya mapenzi na mwanafunzi kwa hiyo bado unastahili adhabu
 
Duh pole sana mkuu maana naona umesahau hata kiswahili kabisa
 
Naomba nikutukane mimi Pumbavu kabisa yaani ujumbe mzima umeona hicho umeshindwa kutoa ushauri we Kenge kweli.
 
Mshujuru Mungu, Angalia mengine hayo yamepita uzuri uneshafahamu dogo si mtoto wako. Utampata anae kupenda.
 
Daaaa ***** wa lahi mi ningemuingiza kaburini huyo kenge
 
Waambie waende kwa mganga akupe majibu yaan unamsifia mganga hapa kweli we kapuku
 
Pole ila nakushauri achana nao tu, kama unahic huwezi bac hama kaa nao mbali ili usiwaone na kwahuyo mtaalam we kaombe ulinzi wako binafsi tu acha kuroga watu kama mwanamke.
 
kwenye sheria hakuna mtaalu/mganga, ni technicalities za kisheria tu pengine ndio zilikutoa au pengine ushahidi haukutosha High Court wakakuachia. nimedumu kwenye izo ishu za mahakama miaka mingi na nimeamini uchawi haufanyi kazi. tafuta kitabu fulani cha sheria kinaonyesha namna ya kukata rufaa Mahakama Kuu na Mahakama ya rufani. bofya hapa Sheria kwa Kiswahili (@sheriakwakiswahili) • Instagram photos and videos
 
Rudi mahakamani huyo jamaa atafungwa yeye, na umshtaki binti kwa kukusingizia mimba. Usichelewe aisee yeye na mke wake watafungwa and uwadai fidia pia ya kukupotezea muda gerezani
 
HIVI WEWE NI MZIMA KWELI??????
 
Unahamu ya kurudi tena ulikotoka si bure
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…